Kwanini upo single?

kweli mkuu af iyo ya mashakaji kuuliza uliza ndo huwa najitenga nao sam time
 
Mwanamke pesa hazimfanyi kua single

Zinamfanya sana ukiwa na pesa mwanamke ukweli ni ngumu kumpata the one me nimechoka manake kila anayekuja hata kama anauwezo anaanza kuwaza kumiliki ulivyo navyo na hawafichi ukweli ni kwamba hata wanaume wanatamani sana wenye mali i wish i could fly somewhere sometimes niishi low nipate mtu atakayenipenda nikiwa low 'hitimisho nipo singel coz kila mwanaume anayekuja anaonyesha kutamani nilivyo na si mimi despite of my beauty
 
mkuu kama vipi uzwa vyote (bakiza uzuri tu) afu uje kwangu
 
Tatizo lako unawaonyesha kuwa unazo.
 
Niko single sababu niko biz sana kias kwamba hata sifikirii mapenz
 
Njoo kwangu nikuone mbuni yako usinishirikishe
 
NATAFUTA MWANAMKE WA KIBOSHO NIOE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…