juve pauly
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 506
- 433
Sio sura! Swaga HunaNipo single kwa sababu kila nikitongoza nakataliwa hii inatokana na kuwa sina swaga na pia sura yangu mbaya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umeona fursa ngap mkuuHuu uzi utakuwa na fursa kibaooo..sibanduki
Usipende kupenda chako! Penda vinavyopendwa na wenzio.Niko single coz nliempenda amependwa na weng
Vipi na wewe fursa niniUmeona fursa ngap mkuu
hamna mwanamme mbaya, mwanamme kivyote utakavokuwa baridi tyu, ila kuna wanawake wabaya na wanawake mapini so labda utakuwa hujapata anae kupenda, Au tumia hela ifanye kazi yakeNipo single kwa sababu kila nikitongoza nakataliwa hii inatokana na kuwa sina swaga na pia sura yangu mbaya
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Pamoja na kutafuta kote uko???kwa sababu sijapata anaenipenda jinsi nilivo
Sio pesa???Sio sura! Swaga Huna
[emoji30][emoji30] sogea tena tayari nimeshatemana nao wote.Niko single coz nliempenda amependwa na weng
Nipo single maana wenye upungufu wa nguvu za kiume hawajiweki wazi nikawafata