Kwanini Upinzani wanafuatilia sana CCM?

Kwanini Upinzani wanafuatilia sana CCM?

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,461
Reaction score
1,545
Kwa siku za hivi karibuni, wapinzani hasa Chadema na Zitto wamekuwa wakifuatilia sana mambo ya CCM.

Yaani sasa hivi wanafuatilia kila move anayopiga mgombea wa urais CCM badala ya kufuatilia mambo ya kwao?

Nimeona gazeti la CHADEMA, Tanzania Daima habari kuu ni CCM na humu hadi social media trend ni ileile Tatizo ni nini?
 
Na kwanini CCM wanateka watu, wanauwa watu, wanapiga risasi wapinzani, wanakataza upinzani kufanya mikutano, wananunua wabunge wa upinzani?

Tatizo ni nini.
 
Na kwanini CCM wanateka watu, wanauwa watu, wanapiga risasi wapinzani, wanakataza upinzani kufanya mikutano, wananunua wabunge wa upinzani?

Tatizo ni nini.
Hii ya kununua upinzani; ikitumia inductive and deductive reasoning ina maana wapinzani wote wana price tag sio? Ila uchaguzi wa TZ una vioja bana, 2015 aliyekua msaliti au mmbunge wa Mahakama alikua ni Zitto mbatia alikua jembe ilihali alikua mbunge wa kuteuliwa kutoka CCM mwaka huu ni vice versa Mbatia ni Msaliti na Zitto ni Jembe ili hali 2015 alikua mbunge aliyefadhiliwa na CCM.

Siasa bana ukiamua kufuatilia ni shida tu.

2015 nilipiga kura kwa fuata mtu badala ya chama maana rais nilipigia chamankingine Mbunge naye chama kingine na Diwani pia nilipigia vyama vitatu tofauti uchaguzi wa 2015 yaani CCM, CHADEMA na CUF na MWAKA huu itabidi nifanye hivyo tu.
 
Hii ya kununua upinzani; ikitumia inductive and deductive reasoning ina maana wapinzani wote wana price tag sio? Ila uchaguzi wa TZ una vioja bana, 2015 aliyekua msaliti au mmbunge wa Mahakama alikua ni Zitto mbatia alikua jembe ilihali alikua mbunge wa kuteuliwa kutoka CCM mwaka huu ni vice versa Mbatia ni Msaliti na Zitto ni Jembe ili hali 2015 alikua mbunge aliyefadhiliwa na CCM.

Siasa bana ukiamua kufuatilia ni shida tu.

2015 nilipiga kura kwa fuata mtu badala ya chama maana rais nilipigia chamankingine Mbunge naye chama kingine na Diwani pia nilipigia vyama vitatu tofauti uchaguzi wa 2015 yaani CCM, CHADEMA na CUF NA MWAKA huu itabidi nifanye hivyo tu
Kununua umepiga? Lakini mengine yapo sawa!!

Note.
 
Kununua umepiga? Lakini mengine yapo sawa!!

Note.
Ukiangalia Movie kali za wamarekani za kiitelejensia za CIA wanakuaga na mammluki na mapandikizi mengi hadi unaweza kuta mkuu wa CIA mwenyewe ni pandikizi la Russion...hahaha

Sawa na Siasa za TZ unaweza kukuta hata unayemuani kuwa huyu ndiye yeye kumbe na pandikizi la CCM...HAHAHAH
 
Ukiangalia Movie kali za wamarekani za kiitelejensia za CIA wanakuaga na mammluki na mapandikizi mengi hadi unaweza kuta mkuu wa CIA mwenyewe ni pandikizi la Russion...hahaha.

Sawa na Siasa za TZ unaweza kukuta hata unayemuani kuwa huyu ndiye yeye kumbe na pandikizi la CCM...HAHAHAH
Basi kwa hoja zako hizi ni bora ungekaa kimya au ungeweka hoja zinazoendana na hili?
 
mbona wabunge wa CCM kila wakiongea ni mbowe tu?
Si ndio upumbavu wao sasa mkuu maana na wa upinzani wakiongea nao ni vile vile.

Yaani wa kijani wakianza kuongea wanasifia kila kitu mwishoni wanakuja kutaja matatizo ya wanananchi halafu badae wanaunga mkono hoja....I feel to turn off the TV.

Upinzani nao wakiamka ni kuponda kila kitu mwishowe anakaa hajatota solution....aarrgh mwisho wa siku ukipima kwenye mzani hawa wote wanafanana ila utofauti wao mmoja ana panga mwingine na rungu tu
 
Kwa hiyo umekuja kuwashtaki, au! Unataka tukusaidie nini hasa? Tuwaambie waache kuwafuatilia? Na kwa nini mnaogopa kufuatiliwa?
 
Back
Top Bottom