Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Hahaaaaa mjini akili tuHayo ya madau. Ushawahi kuona mtu hana kazi wala biashara anadanga tu mjini ila anaenda kwa bwana anaanza kuongelea biashara yake ya TZS 500M na anaomba apigwe tafu kwa kuongezewa 100M na anapewa?
Hakiiii. Jana nilikua naambiwa we endelea hivyo hivyo utaishia na hao wa laki 2 3 sisi wenzio usione tunaishi hivi mjini. Usione nalipa kodi million kadhaa ukadhani nazifanyia kazi. Wanaume hawa ukijiweka juu wanakupa vikubwaHahaaaaa mjini akili tu
Jembe kwenu handeni
HahaaaaMkuu vipi mwanasheria wako hajaenda arusha kupiga kura?
Itakua baada ya kumuona yupo bado ndo akashtuka anadanganywaMkuu vipi mwanasheria wako hajaenda arusha kupiga kura?
ha Ha Nimeshamjua Tayari Anatumia Line 2 Za Simu
Anaye andika si ndio mwanaume!!
Ama mi sja elewa !?
Pole yake sana..mimi nilishadanganywa na mdada mmoja kuwa ni beki tatu na akawa ananitumia picha za mfanyakaz wake wa ndani,,siku nakuja kukutana nae nilibaki nakunywa pombe tu hata sikuwa na chakumwambiaItakua baada ya kumuona yupo bado ndo akashtuka anadanganywa
Kwanini Sasa?Pole yake sana..mimi nilishadanganywa na mdada mmoja kuwa ni beki tatu na akawa ananitumia picha za mfanyakaz wake wa ndani,,siku nakuja kukutana nae nilibaki nakunywa pombe tu hata sikuwa na chakumwambia
Asha zoea kila anaye lala mika ni dada
Asee leo mmenivunjia ndoaa nita deal na nyinyi wote!
Sisi waongo sana.ebu niache nilikuwa sijamalizia mpaka mwisho kumbe na sisi ni waongo hivi mauwongo yote ya nini hivyo
Kasema yumo humu Kisukari.
Yupo humu?
Tutakoma haki ya mama loooh!!
Eti anakuja kutoa machungu yakeSiku hizi humu kuna mambo ya ajabu ajabu mno.. muongee huko mlikokuta uje ututangazie humu mfyuu.
Hahahahanilikuwa sijamalizia kusoma jamani
Hahaaahaa!duh!mjini hapaa!Hakiiii. Jana nilikua naambiwa we endelea hivyo hivyo utaishia na hao wa laki 2 3 sisi wenzio usione tunaishi hivi mjini. Usione nalipa kodi million kadhaa ukadhani nazifanyia kazi. Wanaume hawa ukijiweka juu wanakupa vikubwa. Nikamwambia nimekuelewa dada ila kuishi uongo ntadakwa tu siku
Yaap!kuna vingine vingi nashukuru navikwepa!
Ila kujifanya wa kisshua while wa uswazi huku!
Mwanasheria wakati madam chaki!
Mama wawili+mhenga(divorced )
Hahaaaaa
Ukweli humuweka mtu huru. Sasa uigize mwanasheria hujui kifungu hata kimoja si aibu jamani
Aisee yule dada alikua mbali sana,,mimi ndio kwanza kimwanafunzi swala la kuwa wapenz likashindikana kabisa,Kwanini Sasa?. Bora anaejishusha kuliko anaejiweka kuleee wakati yuko hapa