Kwanini ung'atwe ovyo!!

hahaaaaa itabidi umfanyie surprise ya nguvu halafu uniite nami nione

ikiwezekana mwambie akupeleke Hyatt hotel siku hiyo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nitampeleka Popote Atakapopenda yeye....inawezekana Asipapende hapo Hyatt...akapenda labda kiwanja kingine kikali tuu kama vya dola 180-240$.
Au akapenda Nashera Morogoro!
Google Nashera halafu uje hapa ulete Mrejesho!
Nimetenga 450$ kwa siku hiyo TUU!
HELA inatafutwa ila matukio kama hayo hayatafutwi na hayajirudii!
 
Wadanganye wajinga, umame wako uachwa uje kudanganya wenzio..!

SASA UTAJUA KUWA KWA TAJIRI CHA NINI MASIKINI NITAKIPATA WAPI...
 
hahhaaaaaa aisee ata-enjoy kweli duuu

akienda mwambie aje hapa alete mrejesho wa huko maana ni hatari kubwaaaaaaaaa
 
Wadanganye wajinga, umame wako uachwa uje kudanganya wenzio..!

SASA UTAJUA KUWA KWA TAJIRI CHA NINI MASIKINI NITAKIPATA WAPI...
umeandika lugha gani kindengerekoo hahaaaaaaaaaaaa
 
Umevurugwa unatamani wote wawe vivuruge kitu ambacho hakiwezekani, nakuona ukiachana na mwanaume huku ukitafuta mwanaume, jembe lilelile mpini tu tofauti.
 
Aliyewaloga yuko zake kwa niagieni..
 
hiyo avatar ni wewe auπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Umevurugwa unatamani wote wawe vivuruge kitu ambacho hakiwezekani, nakuona ukiachana na mwanaume huku ukitafuta mwanaume, jembe lilelile mpini tu tofauti.
πŸ˜•πŸ˜•
 
weweeee ushauri wa mapenzi ano mpenzi mwenyewe,nyinyi wakina utamu mmeuwacha nyumbani mtabaki hivyohivyo tu - Nampa nampa nampa Papa, sangara haitoshi we mpatie namapa papa.


Sent from my Che2-L11 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa sikuhizi hawaeleweki kabisa shosti wewe ukiona anakuletea zogo wewe ondoka
utapata mwingine
ambaye atakulea nakukuhendo maisha ni furaha sio karaha.

Uwe na consistency unapotoa nasaha zako!
ahahahahaha kidogo na mimi niandike ulichoandika huyo shosti atasubiri sanaaa... wanawake tupo kibao
 
hii ni movie au reality?
shosti ana miaka 20 au kavuka 30?
 
Mmmh hapana huu si ushauri mzuri ... Mwanamke mwerevu hashindwi kummiliki mume. Ukikimbia unatoa mwanya kwa wanoweza kushika mwanaume. By the way kwann mpaka mwanaume akuache? Nadhani hamna elim ya mapenzi. Nendeni tanga kuna vyuo kule maana kumkimbia mume sio suluhisho
 
We nu wa Tanga nn Emmyta! Una busara sana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…