Kwanini unatumia uongo kumpata mpenzi?

KikulachoChako

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
20,143
Reaction score
40,910
Salaam wakuu

Nimekuwa nikishuhudia mahusiano mengi yakivunjika na hata ndoa zimekuwa na migogoro kama sio kuvunjika kabisa.

Lakini ukija kuchunguza kwa umakini unakuta mzizi wa yote ni uongo tu mmoja kati ya wapendanao alikuwa anamuongopea mwenzie.
Huwa najiuliza inakuwaje mtu ambae unampenda na una malengo nae ya muda mrefu kwanini unatumia uongo kumpata, kwanini usimwambie ukweli kuhusu wewe ili mwenyewe achambue mbivu na mbichi.

UKWELI HUKUWEKA HURU.
 
Tatizo wengine ukiwaambia ukweli wao wanaona uongo, kwaio itabid umwambie uongo iliwaone ukweli....
 
Hakuna kitu nakichukia kama uongo.....namchukia mtu mwongo
 
Sipengi kuongopea MTU yoyote.....il a ikatolea nikagundua uongo wa m/me kuniongopea......honestly mtu atasota sana kunirudisha kny mstari na hata anaweza asifanikiwe.
 
Proffesor anasema. ... uongo si mzuri japo sometimes unasaidia
 
Hahahahahah umenikumba kitu mweeee, kuna matu alimdanganya demu mie nafanya kazi flani basi demu alivyotajiwa kazi anayoifanya mchizi demu akajua hapa machizi ana hela tobahh mmmmmh duh, mashikaji akampata demu lakini sasa ile kazi alikua afanyi na wala hana hata kazi mweeee demu kwavile anajua mchizi kazi nzuri nini vibomu vikaanza, sasa mshikaji kuona ataumbuka kazi hana na hela hana ikabidi aibe hahahahahah uongo huu shida mchizi akaishia lupango hahahah jaman jamin mlio zoea kudanganya kueni makini kwani ukimwambia mtu mimi ni mfyatua matufali atakuelewa tu kuliko kumdanganya eti nafanya kazi bank wakati hata ATM yenyewe ujui yafanana vipi!
 

hahahaha
 
kwenye mapenzi ya kweli na ili yadumu uongo ata kiduchu unahitajika... isipodanganya kudumu ni vigumu
 
Nilidanganya sana...
..lakini niliyempenda huwa nilisema ukweli..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…