Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,992
- 168,518
Sababu zangu za msingi zinafuata.
Yaani umeongea bin kunena! Mambo iko hukuu! JF forever!Tangu nilivyoifaham jf mzuka wa fb umeisha kabisa yani wakati mwingine nakata hadi wiki bila kutembelea fb ila huku jf imekuwa sehem ya maisha yani ikipita saa bila kupita nahisi km kuna kitu namis, ila jukwaa la Mapenzi na mahusiano la jf linaanza kuboa kwa kuwa na mada nyingi sn tena nyingine hazina maana kabisa
Tangu nilivyoifaham jf mzuka wa fb umeisha kabisa yani wakati mwingine nakata hadi wiki bila kutembelea fb ila huku jf imekuwa sehem ya maisha yani ikipita saa bila kupita nahisi km kuna kitu namis, ila jukwaa la Mapenzi na mahusiano la jf linaanza kuboa kwa kuwa na mada nyingi sn tena nyingine hazina maana kabisa
Kwangu mm hiyo title yako naomba ui-reverse.
jf tamu.
Fb hakuna mods, matusi ruksa, hata wazazi wako unawamiminia tu mijitusi bila kunyooshewa kidole.
Fb hawa comment, waki comment wanaandika 'thats whats up', 'thats great', whoughh, omg, wtf etc..
Vinginevyo wanabofya tu kitufe cha 'like'
Karibu jangwani tule na kunywa
jangwa lipi?