Kwanini umpe mwanamke hela?

Wewe pambana na maisha tu dogo.
Nashangaa unashindwa kuelewa tofauti ya upendo na ngono huna unachojua endelea kula kwenu na kubeti ukitegemea kutoboa.
 
Kweli labisa hawa wanawake tusiwape hela wacha wazitafute kwa nguvu zao wenyewe. Hela peke ya kumpa mwanamke ni pale wote mpo uchi na unamkula mbususu
 
Maskini kafie mbali toa upate ndio habari
 
Wewe ni mmoja kati ya wanaume wapumbavu ambao mnapendwa na kausha damu kwa sababu nyie ndo mafala wao. Unapigwa mzee baba, wake up from that dead asleep
Hahaha acha tupigwe kama kumpa mwanamke hela ni kupigwa acha watupige ila nikuambie ukweli wanaotoa ndio hupata zaidi unaweza kuwa kinati na pesa zako na bado maisha mazuri usiwe nayo ishi maisha pepo ipo duniani hapa hapa
 
Hahaha acha tupigwe kama kumpa mwanamke hela ni kupigwa acha watupige ila nikuambie ukweli wanaotoa ndio hupata zaidi unaweza kuwa kinati na pesa zako na bado maisha mazuri usiwe nayo ishi maisha pepo ipo duniani hapa hapa
Huyo dogo mbwa tu, analalamika atoe pesa wakati hata boksa kujinunulia hawezi anavaa mpaka boksa inakakamaaπŸ˜‚πŸ˜‚.
Huyu dogo atakufa na stress na punyeto
 
Maswali magumu na fikirishi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ classic poverty mentality. Gen Z mnashida sana. utoe nini sasaπŸ˜‚πŸ˜‚.
Yaani kama ww ni mtu mzima na unaona hakuna cha kutoa pole sana asee ukiulizaa gen z ni nini na inahusika na nn hujui zaidi ya kufuata mkumbo hujui hata inarange kuanzia miaka gani mpka miaka ipi......


Umaskini wa kwanza ni kuona mambo madogo kama hayawezekani vile
 
Warning! Akipata anayempa hela usije hapa tena kutuandikia umekuacha.
 
Kuliko kuzungumzia wanawake, heri ukomae kujiajiri tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee
 
Haha, yaani ndio maana na kwambia Gen Z ni wajinga. Mimi si mjinga kutaja kitu nisichokijua, chakushangaza vizazi vilivyopita ndio walilea wanawake bila kelele ila nyie ni shida. Acheni mkumbo wakufuata internet πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†. Tumia akili dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…