Kwanini umpe mwanamke hela?

Ukishaweka wajibu wa kutoa hela kama nguzo ya kushikilia mahusiano basi hata uyo unayempa hela nae anajiuza anachotofautiana na wale wa kitambaa cheupe na wanaojipanga barabarani ni mbinu tu
Uko sahihi kabisa mkuu ...mwanamke unaanza kumtongoza tu anakuuuliza utaweza kunihudumia ?hivi hapo anachomaanisha ni nini kama sio kusema utakuwa unanipa hela? Unakuwa na demu ambao munaishi mji mmoja ila makazi tofauti utakuta kwa mwezi unamchapa mara 7 tu ila kuanzia kodi ya nyumba ,kula,kusuka,kuvaa,bodaboda,sadaka kanisani,fungu la kumi,pedi,bando ni juu yako hivi kweli hapo utapiga hatua?
 
Nimesoma huu uzi nomejikuta nacheka kwa sauti wachaniendeleee kununua mbususu tu kila mtu aendelee na Maisha yake
 
Na ivyo ndivyo inavyotakiwa. We do business then no attachments or we build relationship then each one will take care of his/her bills.
 
Hapo shida ipo kwako.

Mtafutie kitu cha kufanya huwezi kumsikia anakusumbua?
Mbona hayo mambo mepesi mnalazimisha muumie hauwezi achana nae tu
 
Kutoa hela iwe hiyari tena under very serious circumstances. by any means ukishaweka wajibu wa kutoa hela as a medium for exchange iyo ni biashara ya ngono vinginevyo uyo mwanamke awe mkeo.
Ehee hapo sasa sawa.
Ukiwa na mahusiano na binti unaishi nae tu si lazima umpe pesa kila siku, inaweza kuwa tu mahitaji machache.
sababu ukisema unampenda upo tayari kumuhudumia na si sex hapo inakuwa love. Lakini kuhudumia si lazima iwe ni kila siku Hapana.
Lakini kama ni familia Mke hapo lazima umuhudumie
 
Jukumu langu kama Rais wa UWABATA ni kuwaamsha vijana. A man you must be selfish for the sake of your future plans, no woman deserve your money.
 
Hapo shida ipo kwako.

Mtafutie kitu cha kufanya huwezi kumsikia anakusumbua?
Mbona hayo mambo mepesi mnalazimisha muumie hauwezi achana nae tu
Kwanini umtafutie cha kufanya mkuu? ilo jukumu lake, kupitia 50/50 mwanamke ashapewa access zote za kujipambania mwenyewe, mbona mnataka kuwa-treat hawa wanawake kama vile ni watoto wadogo. Mawazo kama yako matokeo yake wanawake ndio wanajiona wanatakiwa kubebwa bebwa tu kwenye kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…