Kwanini Umeme wa TANESCO ukizimika hufuatia tukio lakijambazi?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Jamani nina believe ya chuki sana na hawa watu wa Tanesco, kwasababu nina experience ya miji kama mitatu hivi kuhusiana na hiyo Heading na ndio maana inanifanya niamini kunaconection na Majambazi kwa hawa Tanesco

Tunduru nimekaa karibu miaka Sita, yametokea matukio kama nane hivi Umeme unakatika, Tukio linafanyika the Baada ya masaa kama matatu hivi umeme unarudi,

Mtwara sikukaa sana kama miezi mitano nilishuhudia tukio lakufanana na Tunduru, umeme unakatika Tukio thenbaada ya saa kadhaa umeme unarudi,

Hapa Dar bila shaka wadau wata kuwa wanashuhudia mambo yanayo fanyika,

Swala langu mimi naomba niwekwe wazi hivi Selikali linaiona hii au hawalioni?
 
Back
Top Bottom