Kwanini Umeathirika?

Kwanini Umeathirika?

Credio

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
78
Reaction score
156
Kila mwanadamu ana tabia zake tofauti kulingana na mazingira aliyokulia, familia ilivyomlea, dini na pia past experience ambazo kwa namna moja ama nyingine huathiri utendaji wake kuanzia heshima, utu, nidhamu, uaminifu na uadilifu n.k
Kuna watu wazima hizi experience zimewafanya kuwa wezi, katili, wenye huruma sana, wenye kukata tamaa na pengine kuwa watu wasio maliza mambo wanayo yapanga.
Je weww mwana jf kipi kimeathiri tabia yako mpaka umekuwa hivyo ulivyo?
 
Back
Top Bottom