shonkoso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 724
- 1,526
Kuna kitu kinaitwa Unity in Diversity yaani umoja katika tofauti, binadamu hatufanani kwa mambo mengi kwani sisi siyo Fraternal twins hats kama ni mapacha wanaofanana naamini kuna tofauti tu wanazo hata kama si za kimaumbile, sioni sababu kwa nini wewe unae his I umeumbwa perfect kutumia muda wako mwingi kutania maumbile ya watu wengine na kuwafanya wakakosa Amani , kuna vitu vya kutaniana naamini vipo vingi sana, embu tubadilike kuanzia kwenye jukwa hili.