Kwanini umcheke mwenye kibamia wakati hakujiumba?

Kwanini umcheke mwenye kibamia wakati hakujiumba?

Mbona haipiti Siku hapa JF bila ya malalamiko ya BAMIA!

Kulikoni?
 
Mkuu umesoma ruaha secondary? Unity in diversity ndo ulikua our school motto

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio haikuwa school motto ya ruaha ila tu ni moja ya zile ishu za kibahai kama sehemu yao ya imani ila school motto ilikuwa "education is the key to excellence" hayo maneno yalikuwa pale pembeni ya geti kubwa la kuingilia main school compound.ila hata mm nashangaa watu wakiulizwa school motto wanasema "unity in diversity"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwa mnachekwa na mnaodate nao au ukikuta tu watu wanajadiliana nawe unajihisi? Kama uliyenae anaridhika na vile ulivyo basi haijalishi wengine wanakusema vipi.
 
Kibamia mbona kizuri tu kikiungwa vyema. Ni maumbile madogo ndio na sisi maumbile yetu yalivyo tunaweza enjoy kwa umbile lolote mtumjia tu awe fundi. Kibamia ubaya wake hakigongagi kule kwenye maini ila hapa juu kwenyewe mbona wanaperform vizuri tu (kwa wanaojua)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibamia mbona kizuri tu kikiungwa vyema. Ni maumbile madogo ndio na sisi maumbile yetu yalivyo tunaweza enjoy kwa umbile lolote mtumjia tu awe fundi. Kibamia ubaya wake hakigongagi kule kwenye maini ila hapa juu kwenyewe mbona wanaperform vizuri tu (kwa wanaojua)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimae umetupa heshima yetu....

Ila sometimes maumbo yenu yanachangia kama juzi kati nilibahatika kumla mdada mmoja mzuri sana ambaye alinisumbua sana miaka kadhaa iliyopita....

Aise nisiwe mwongo yule dada ni mzuri kwa nje ila kwa ndani Yesu wangu kitu ni kubwa hadi ikanibidi niwe mbunifu kwa mimi kukojoa ikabidi nikomae kusugua sehemu mmoja ya chini atleast niweze pata ule msuguano ili niweze kukojoa....

Bila hivyo ningeishia kutwanga maji kwenye kinu.. Back to the topic eti rafiki yangu kwanini wanawake wazuri huku chini wanakuwa wana maungo makubwa sana ni kwamba wanatumika sana ama? ni kawaida tu

Labda wanatumika sana na dushe kubwa kubwa tofauti tofauti. Mtu hawez kuwa anakutana na dude refu na nene tuseme kwa mwezi mara 10 kwa miezi hata mitatu. Akija mwenye ndefu nyembamba ataona kautofauti tuu. (Elasticity of Elastic Material )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kuambiwa anakibamia sio kuchekwa bali ni kuambiwa ukweli.
Kibamia ni tatizo la kimaumbile kama vile tatizo lingine la kimaumbile,unaweza kukutana na Mlemavu ukamwambia Wewe Mlemavu,halafu umwambie Mimi nakwambia Ukweli tu! Watu matured hawafurahii matatizo ya wengine,wanawasaidia au kusympathise nao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm na kiba100 change cna presha....na do....watt ninao ....wife alijufaragua nikam shoo exit door....sa hz show za nje bila presha....aseme ameridhika au hajaridhika n yy...kikubwa kiu nimekata na maisha yanawndelea
 
Pole mkuu shonkoso. Wanaokucheka watalaaniwa wao na vizazi vyao (Kwa sauti ya RC Makonda akiwaalani watakao nunua container zake)
 
Back
Top Bottom