Kwanini ulioa/kuolewa mapema?

Ukifanya ivyo unapata madhambi,kiufupi heshima yako inashuka ukianza kupata mtoto kabla ya ndoa

Sawa, endeleeni kuolewa/oa kwaajili ya kupata watoto na heshima.
Kila mtu anatafsiri na malengo yake katika swala zima la kuingia kwenye ndoa.
 
Nguvu zangu kuisha na ye kuwa form six kuna uhusiano ganii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pujo So it means utachelewa kuzaa sababu ya kuchelewa kuolewa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…