Nadhanu mapema haina umri,muhusika mwenyewe anajua tu hapa bado mapema.
Kwa jamii zetu zinavyoitazama ndoa hapo utakua ushawekewa mpaka vikao kama sio kutafutiwa mchumbaYangu nataka nifanye kwenye early 40's apo nitakuwa nimewahi ama nimechelewa???
Seriously ?? Tunakwama wapi wabongo? Yani mbaka wanitafutie na mchumba kabisa? Wakati maisha ni yangu mwenyewe.Kwa jamii zetu zinavyoitazama ndoa hapo utakua ushawekewa mpaka vikao kama sio kutafutiwa mchumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni Ke basi umechelewa sana,na kama ni Me basi umechelewa sana,umri huo unatakiwa uwe na mtoto mkubwa wa kwanza asiyepungua miaka 15 ama 10,sasa kwa umri huo chukulia ndio unaoa,baada ya mwaka mmoja ndio unapata mtoto wako wa kwanza,unafika miaka 53 mwanao ndio anamaliza darasa la saba,unafika miaka 57 ndio anamaliza form four,anafika form Six wewe ndio unamiaka 60 hapo nguvu zimeshakuishia kabisa,huoni kama umechelewa sana hapoYangu nataka nifanye kwenye early 40's apo nitakuwa nimewahi ama nimechelewa???
Kwa mwanamke ni kuanzia miaka 23 hadi 28,na mwanaume ni kuanzia miaka 27 hadi 32
Sawa sawa.Kwa mwanamke ni kuanzia miaka 23 hadi 28,na mwanaume ni kuanzia miaka 27 hadi 32
Kwani mtoto mbaka nifunge ndoa???Kama ni Ke basi umechelewa sana,na kama ni Me basi umechelewa sana,umri huo unatakiwa uwe na mtoto mkubwa wa kwanza asiyepungua miaka 15 ama 10,sasa kwa umri huo chukulia ndio unaoa,baada ya mwaka mmoja ndio unapata mtoto wako wa kwanza,unafika miaka 53 mwanao ndio anamaliza darasa la saba,unafika miaka 57 ndio anamaliza form four,anafika form Six wewe ndio unamiaka 60 hapo nguvu zimeshakuishia kabisa,huoni kama umechelewa sana hapo
Then what's the right time??Sio vizuri kuwahi kuoa au kuolewa na sio vizuri kuchelewa kuoa au kuoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanya ivyo unapata madhambi,kiufupi heshima yako inashuka ukianza kupata mtoto kabla ya ndoaKwani mtoto mbaka nifunge ndoa???
Apo apo kati kati ndo pazuriThen what's the right time??
Utasema katikati. Then katikati ni umri gani???