Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

..nimetia sana wake za watu..Kwa kupenda wao...mmoja alitaka Tu Hadi nizae nae...nikawa nakojolea nje...mwingine nimevunja kabisa ndoa yake..akamtema mumewe...akawa single...huyu alikuwa ananipa Hadi mkun.du......wakaachana na bwana wake..Hadi Leo...Ila wote huwa nawakimbia....
Kasheshe
 
Ipo. Siku ntamtoa MTU korodani ,afuu namwacha aende zake na mke wangu nampa ,ili akatumie vidole kumsugua

Kiufupi wanaotembea na wake za watu hawajui uchungu wa mke .binafsi siwez tembea na mke wa MTU labda kama sijui

Chukueni tahadhari mtaingia hasara kutembea na wake za watu sio tabia nzuri kabsaa
 
1st
nipo zangu kazini nimetulia sina hili wala lile kaja mmama mmoja si mkubwa sana kimwili ila ni age ya 40
bhasi akawa ananielezea tatizo lake na muda na gharama alizotumia na ajafanikiwa
bhasi nikampa siku mbili kuwa nitamsaidia akaniachia 071... bhasi
mungu si asumani nikafanikisha kazi yake siku niliyo mwahidi alifurai sana
ikawa kila mara ananicheki kwa kunipa saloom na story za kimaisha na kunifundisha anavyo fany a
biashara zake na mambo wa kadhaa

ok siku moja npo mtani nimetulia napiga gambe yee gambee yaaa mpee yule mruke yule mpee kulee
mara naona sms ya whats mamb .....mzma wewe uko wapi nikamwambia nipo tu sehemu napiga vituv
maraa hooo unanitamanisha ila mi napiga wine nikamwambia freshe karibu
nikatoa location mara gari hiyo inapaka mama kashuka kaupara atari kabisa kapendezaaaaa
karinbu akasema oooh apa si sehemu fresh tuhame bhasi nikaingia kwenye ndinga haaoooo
pasipo julikana tukala wine mi bia weeeee na nyama ka ya mdudu pori kiti cha moto kama ka klo
muda huo giza lishaingi na kijana nipo byeeeee nikamwambia madam mi nasepa home kupumxika
mishale kama ya saa tatu na nusu akasema let me rush you karibu na kwako

tukiwa kwenye gari yake mara kashika kunako muda iyo kichwa kidogo AkA yuda kasimama atari
kasogeza gari pembeni nikasikia ni bora ukalale kwangu mume wangu yupo mkoani siku ya tisa sasa na
kurudi ni bado sna
nikaona fresh tu nimefika kwamama piga miti sana mpaka asubui nimeamka pata chai nzuri
nikasepa zangu nyumbani walikuwa watoto wake wadogo so muda wa kutoka alitoka akawaagiza semu mi nikiangia kwenye
gari chap tukasepa

leo tarehe 25/2/2021 nitaenda tena kwakee kanisii na kuniomba sana nikamkuneee


UKWELI
wanaume wengi wanasukari so show zimekuwa kazi
pia wasio na sukari hawapigi sho vizuri kwa wake zao wanajitutumua kwa michepuko
Mkuu nakusihi sana tena kama unaendelea kumla hyo manzi hakikisha hauend kwake peleka gest mkuu. Nna jamaa yngu ilibaki kidogo afe kisa kulala kwa wanawake za watu km hvyo...
 
Hahaaaa massa Kama hiz zinawauma mnooo wanaume, lakin kweli kila mtu angekua anajali madhara na maumivu ya mapenz kwa mwenzake dunia ingekua nzuri mnoo, tatizo wanaume wengi mnajihesabia haki kuwa nyie kucheat ni sawa na mnasahau wake zenu nyumbani mnapambana na michepuko matokeo yake wake za watu ndo wanaongoza kwa kucheat sasa hiv
Kwa kifupi tu mtenda pia hutendwa kuweni Makin
Kwasasa wanaume watakaa sawa, mwanaume akimcheat mkewe naye alijua tu malipizi yanaanza!
 
1st
nipo zangu kazini nimetulia sina hili wala lile kaja mmama mmoja si mkubwa sana kimwili ila ni age ya 40
bhasi akawa ananielezea tatizo lake na muda na gharama alizotumia na ajafanikiwa
bhasi nikampa siku mbili kuwa nitamsaidia akaniachia 071... bhasi
mungu si asumani nikafanikisha kazi yake siku niliyo mwahidi alifurai sana
ikawa kila mara ananicheki kwa kunipa saloom na story za kimaisha na kunifundisha anavyo fany a
biashara zake na mambo wa kadhaa

ok siku moja npo mtani nimetulia napiga gambe yee gambee yaaa mpee yule mruke yule mpee kulee
mara naona sms ya whats mamb .....mzma wewe uko wapi nikamwambia nipo tu sehemu napiga vituv
maraa hooo unanitamanisha ila mi napiga wine nikamwambia freshe karibu
nikatoa location mara gari hiyo inapaka mama kashuka kaupara atari kabisa kapendezaaaaa
karinbu akasema oooh apa si sehemu fresh tuhame bhasi nikaingia kwenye ndinga haaoooo
pasipo julikana tukala wine mi bia weeeee na nyama ka ya mdudu pori kiti cha moto kama ka klo
muda huo giza lishaingi na kijana nipo byeeeee nikamwambia madam mi nasepa home kupumxika
mishale kama ya saa tatu na nusu akasema let me rush you karibu na kwako

tukiwa kwenye gari yake mara kashika kunako muda iyo kichwa kidogo AkA yuda kasimama atari
kasogeza gari pembeni nikasikia ni bora ukalale kwangu mume wangu yupo mkoani siku ya tisa sasa na
kurudi ni bado sna
nikaona fresh tu nimefika kwamama piga miti sana mpaka asubui nimeamka pata chai nzuri
nikasepa zangu nyumbani walikuwa watoto wake wadogo so muda wa kutoka alitoka akawaagiza semu mi nikiangia kwenye
gari chap tukasepa

leo tarehe 25/2/2021 nitaenda tena kwakee kanisii na kuniomba sana nikamkuneee


UKWELI
wanaume wengi wanasukari so show zimekuwa kazi
pia wasio na sukari hawapigi sho vizuri kwa wake zao wanajitutumua kwa michepuko
Wacha tu wajitutumue tu kwa michepuko na wake zao huko wapo wanaojitutumua kwenye vifua vyao!
 
Back in days kuna mdada mmoja hv amenizidi km miaka mi3 alikua mteja wangu mzuri tu kwenye kibanda cha wakala maana kila wiki kuna siku lazima aje aweke pesa kwa ajili ya vicoba. Shida ni kwamba kulikua na stori pale mtaani kuwa yule dada huwa anapigwa sana na mumewe hususani mida ya usiku bila sababu ya msingi, binafsi kila nikimuangalia alikua na sura fulani ya kipole halafu hana makuu wala nini. Nikajikuta tu nashawishika kuweka naye karibu. Ikumbukwe nilikua na namba yake kwa sababu nilikua namfanyia sana miamala ila sikutaka kabisa kuitumia kinyume na ofisi so nilipanga siku baada ya kumuhudumia nikamuomba namba kwa matumizi binafsi, akajivungavunga pale mara akanipa tena kwa masharti kibao eti ooooh uwe na heshima sio unanitafuta bila sababu ya msingi nikamuambia hilo sio tatizo vp mida gani mizuri kukutafuta mara ooooh porojo kibao ila usiku ndio ilikua hatari zaidi kwa maelezo yake muhuni nikaitikia tu. Kipindi tunaanza kuwasiliana wasiliana mara jamaa siku hiyo timu yake imefungwa ilikua fainali flani hv klabu bingwa ulaya, kurudi hm kashusha kipigo heavy mixer roba juu hadi mdada wa watu sauti ikakauka. From there shetani akanijaa nikaona hii sio sawa hyu mwamba itabidi nimuoneshe mtt wa kike hapelekwi hivi. Mdogo mdogo nkaanza kutupia ndoano mtt wa watu akawa anajifanya kukaza ile sitaki nataka. Siku moja tukapanga kuonana ikabidi tukakutane huko maeneo kwenye vicoba vyao(nb: ililazimika kuonana mbali coz mumewe anafahamiana na watu wengi sana maeneo ya mtaani na maeneo mengi jirani)muhuni nikajiongeza nikachukua room lodge pande zile, fosi sana ndio akakubali kuja ila mwsho wa siku akanikazia in short sikula mzigo, muhuni nikamind nimepoteza muda na pesa bure. To cut a story short nilikuja kumla baadaye na mumewe alikuja kujua kipindi mm nimesafiri nipo mkoa akachimbachimba beat nn pale na mwsho walihama pale mtaani. Mwaka juzi hapo nilikutana na jamaa kwny tamasha flan hv ananifuatilia hahah nyagi zote ziliisha kichwani.... Ikumbukwe niliwahi jiapiza sitokuja kutembea na mke wa mtu maisha yangu yote ila namna mwanaume mwenzangu alivyokua anamtreat mtt wa watu haikua fair na nikiri nilikua faraja mno kwa yule dada aisee, nilishatubu hii....maandiko yanatuambia kila anayezini na yy ataziniwa japo mm nishaungama... ( Mama Nir..... popote ulipo hope umeshamzoe hyo jamaa yako, uvumilivu ndio nguzo kuu ya ndoa yako, vumilianeni tu kwa pamoja muijenge familia)

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
sijakuelewa
 
Back in days kuna mdada mmoja hv amenizidi km miaka mi3 alikua mteja wangu mzuri tu kwenye kibanda cha wakala maana kila wiki kuna siku lazima aje aweke pesa kwa ajili ya vicoba. Shida ni kwamba kulikua na stori pale mtaani kuwa yule dada huwa anapigwa sana na mumewe hususani mida ya usiku bila sababu ya msingi, binafsi kila nikimuangalia alikua na sura fulani ya kipole halafu hana makuu wala nini. Nikajikuta tu nashawishika kuweka naye karibu.

Ikumbukwe nilikua na namba yake kwa sababu nilikua namfanyia sana miamala ila sikutaka kabisa kuitumia kinyume na ofisi so nilipanga siku baada ya kumuhudumia nikamuomba namba kwa matumizi binafsi, akajivungavunga pale mara akanipa tena kwa masharti kibao eti ooooh uwe na heshima sio unanitafuta bila sababu ya msingi nikamuambia hilo sio tatizo vp mida gani mizuri kukutafuta mara ooooh porojo kibao ila usiku ndio ilikua hatari zaidi kwa maelezo yake muhuni nikaitikia tu.

Kipindi tunaanza kuwasiliana wasiliana mara jamaa siku hiyo timu yake imefungwa ilikua fainali flani hv klabu bingwa ulaya, kurudi hm kashusha kipigo heavy mixer roba juu hadi mdada wa watu sauti ikakauka. From there shetani akanijaa nikaona hii sio sawa hyu mwamba itabidi nimuoneshe mtt wa kike hapelekwi hivi. Mdogo mdogo nkaanza kutupia ndoano mtt wa watu akawa anajifanya kukaza ile sitaki nataka.

Siku moja tukapanga kuonana ikabidi tukakutane huko maeneo kwenye vicoba vyao(nb: ililazimika kuonana mbali coz mumewe anafahamiana na watu wengi sana maeneo ya mtaani na maeneo mengi jirani nadhani ni kwa sababu ya kazi zake)muhuni nikajiongeza nikachukua room lodge pande zile, fosi sana ndio akakubali kuja ila mwsho wa siku akanikazia in short sikula mzigo, muhuni nikamind nimepoteza muda na pesa bure.

To cut short a story nilikuja kumla baadaye na mumewe alikuja kujua kipindi mm nimesafiri nipo mkoa flani kanda ya ziwa huko akachimbachimba beat nn pale na mwsho walihama pale mtaani.

Mwaka juzi hapo nilikutana na jamaa kwny tamasha flan hv ananifuatilia hahah nyagi zote ziliisha kichwani....

Ikumbukwe niliwahi jiapiza sitokuja kutembea na mke wa mtu maisha yangu yote ila namna mwanaume mwenzangu alivyokua anamtreat mtt wa watu haikua fair na nikiri nilikua faraja mno kwa yule dada aisee, nilishatubu hii dhambi....maandiko yanatuambia kila anayezini na yy ataziniwa japo mm nishaungama... ( Mama Nir..... popote ulipo hope umeshamzoe hyo jamaa yako, uvumilivu ndio nguzo kuu ya ndoa yako, vumilianeni tu kwa pamoja muijenge familia)

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kichwa ha habari hii kilipaswa kiwe tofauti, badala ya kusema kwamba 'Kwanini Uliamua Kufanya Mapenzina Mume/Mke wa Mtu' ilipaswa iandikwe 'Kwanini Mke wa Mtu Akikutaka Huchomoki', MWANAMKE AU MKE WA MTU ndiye kichawishi kikuu ili tendo hili litokee, mke wa mtu ndiye key determinant Mwanaume au mume wa mtu hana nguvu wala ushawishi wa mbele ya mke wa mtu, kama mwanamke huyo hajaamua hakuna kitakachofanyika.

Wanaume wengi walio kwenye mahusiano na wake za watu, wanadhani wanajiona vidume kwamba wamewatongoza wake za watu, lakini kiukweli ni hao wake za watu walishafanya maamuzi siku nyingi kwamba 'lazima nitembee na kijana au mwanaume yule. Wanachofanya ni kutengeza mazingira ili iwe rahisi kwa mwanaume kumtongoza lakini kiukweli mwanamke alishaanza na alishaamua siku nyingi lazima atoke na mwanaume huyo.

Bila mwanamke kukubali au kufanya juhudi za makusudi mwanaume hana ubavu wa kumtongoza au kumshawishi mke wa mtu alale naye.

Mwanamke akishasema maneno kama haya na akimaanisha ; ' niache, nimeolewa na namheshimu wangu wangu' hakuna mwanaume atakayekwenda kinyume na maneno hayo.

Hivyo, wanaume msijidanganye kwamba nyie ndio mnaochezesha game, hapana ni wanawake.
 
What if mimi sijui kuwa huyo ni mkeo au hajaniambia kaolewa?
Nikishakubaini nikakutia kwenye mikono yangu hayo maelezo utanipa baada ya mimi kuwa nimekuweka kwenye mikono yangu!! Kwamba unajua ujui ndo utajua siku iyo iyo... Ivi inawezekanaje man usijue huyu dem kaolewa uwo ni uzembe wanawake ndio anaweza kutembea na mume wa mtu bila kujua ila sio mwanaume aisee
 
Wakuu Mimi nimeoa,sina uhakika kama nimewahi kuchapiwa au la ila ninapoona viashiria vya mtu kumzengea mke wangu roho inaniuma sana tena sana,nawashauri wale mnaodhani ni ushujaa kuchapa mke wa mtu mnachofanya ni kibaya mno na amini usiamini lazima mkeo pia atachapwa au anachapwa kama umeshaoa,hiyo ni adhabu nafuu unayoweza kuipata,vinginevyo kuna kuuwawa nk,unaweza ukadhani unaweza kufanya Mara moja au mbili kisha umpotezee lakini kumbe mumewe anatrack mawasiliano yake ukajikuta unafumaniwa halafu balaa linakukuta.kwa bahati mbaya sana nimepoteza watu wawili niliowafahamu vizuri kwa mikasa hii ya wake za watu,wa kwanza alikuwa uharabuni baada ya kugundulika anapiga mke wa boss ktk kiwanda cha nyama alichokuwa anafanyia kazi waarabu walimsukumia ktk mashine ya kusaga nyama,tulimzika akiwa ni furushi tu la nyama.wa pili yeye jamaa alimtafutia kundi la watu likampiga na kumuua kisha wakamtupa relini treni ikamkatakata.chukua toka kwangu Mimi niliyeoa inauma sana kupigiwa mke na unahisi jamaa amekudharau sana amekuona kama sio rijali hivi kwahyo ameamua kukupigia na hasira zake ni Kali mno unaweza Fanya kitu cha ajabu kabisa ukajutia baadae.let's not take pride in fucking somebody's wife.kama hukujua ni mke wa mtu ukigundua mteme haraka sana,kumbuka tofauti zao za ndani ya ndoa wewe hazikuhusu wala hazihalalishi wewe kutembea na mke wake,kibaya zaidi likikukuta la kukukuta hakuna anayekuhurumia kutokana na ubaya wa ulichokifanya wewe pia.
 
Nikishakubaini nikakutia kwenye mikono yangu hayo maelezo utanipa baada ya mimi kuwa nimekuweka kwenye mikono yangu!! Kwamba unajua ujui ndo utajua siku iyo iyo... Ivi inawezekanaje man usijue huyu dem kaolewa uwo ni uzembe wanawake ndio anaweza kutembea na mume wa mtu bila kujua ila sio mwanaume aisee
Sasa mimi nitauaje?..nimekutana na mkeo hana pete ya ndoa + kavaa kihasara hasara na kwenye kumuuliza akasema anaishi na ndugu yake hajaolewa/ameachika,nimeomba one night stand akakubali..aisee ukinikuta ni mimi tutazinguana kinoma labda uniue kwa kuniwahi otherwise na wewe nitakufanyia mambo mbovu sana
 
Back
Top Bottom