Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Na uwepo wako hapa duniani unafikiri hauna muunganiko na imani..

Imani ambazo zipo ktk Dini na wewe umezitukana. Kwamba kupitia hizi imani thats why we exist.

Yani hatukutokea ktk hii planet kwa bahati mbaya.
Kabisa.! Ila huna uhakika kuwa Mungu unamtafuta katika dini pekee. Sivyo?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
mimiamadiwenani niliacha kuamini mungu yupo baada ya kuona video fulani kisha kufanya utafiti wangu.... kiukweli niseme tu, naona maisha yangu yamekua bora zaidi sasa ambavyo siamini kwenye mambo ya mbinguni na kuzimu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] video gani? Uvivu tu wa kwenda kanisani
 
Na uwepo wako hapa duniani unafikiri hauna muunganiko na imani..

Imani ambazo zipo ktk Dini na wewe umezitukana. Kwamba kupitia hizi imani thats why we exist.

Yani hatukutokea ktk hii planet kwa bahati mbaya.
Imani hazipo katka Dini, fungua akili yako Em fany pitia vizuri maandiko ya kitabu cha Dini yako alaf uone mkanganyiko uliopo humo,

ukishindwa sema tukusaidie kuuona huo mkanganyiko na uongo wa vitabu vya Dini.
 
Umeongea kitu kikubwa sana katika imani yoyote huwezi jisifia kutenda dhambi.

Wengi wao wanaojisifia hivyo, wanafanya mizaha ili waonekana wa maana zaidi. Tena unakuta mwingine anadanganya tu, lakini kiuhalisia hajawahi kanyaga kanisani au hajawahi kuacha kwenda.
 
Imani hazipo katka Dini, fungua akili yako Em fany pitia vizuri maandiko ya kitabu cha Dini yako alaf uone mkanganyiko uliopo humo,

ukishindwa sema tukusaidie kuuona huo mkanganyiko na uongo wa vitabu vya Dini.
Usiichukulie dini kama technical term...

It's Faith. Mbona unafanya complications
 
Imani hazipo katka Dini, fungua akili yako Em fany pitia vizuri maandiko ya kitabu cha Dini yako alaf uone mkanganyiko uliopo humo,

ukishindwa sema tukusaidie kuuona huo mkanganyiko na uongo wa vitabu vya Dini.
Kwamba jua linazunguka[emoji3][emoji16] kumbe dunia ndiyo inazunguka. Galileo aliwasanua wengi mno.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…