Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Sababu ni nyingi ila nimegundua kanisa la sasa ni biashara kama zilivyo biashara zingine.
Kanisa siku zote limekuwa ni biashara ya kuuziwa Mungu ambaye hayupo.

Ila, kadiri siku zinavyozidi ndivyo uroho wa waongoza kanisa unavyozidi, na macho ya waumini yanavyozidi kufunguka, ndiyo maana unaona kanisa la sasa ni biashara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] huwezi amini hapa nilipo niko serious balaaa kila mtu ananiamkia shkamoo
Watakuwa hawakujui huku jf unachokifanya wallahi!! 🤣🤣🤣🤣
Mimi nawazaga hivi ikitokea siku mtu wangu wa karibu kashika simu yangu kaingia jf sijui nitaweka wapi uso wangu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] sijui utaambia nini watuuuuu
 
Bichwa Mokwee aisee wangeona anachofanya jf sipati picha[emoji2][emoji2][emoji2] eti anasema mbona mnatukanana mnatudindisha bhana
 
Kanisa siku zote limekuwa ni biashara ya kuuziwa Mungu ambaye hayupo.

Ila, kadiri siku zinavyozidi ndivyo uroho wa waongoza kanisa unavyozidi, na macho ya waumini yanavyozidi kufunguka, ndiyo maana unaona kanisa la sasa ni biashara.
Halafu Kiranga unaonekana ulikuwa church boy mno wewe.
 
Kule kusema amen amen kila kila wakisoma andiko kulinishinda!

Utitiri wa michango sijalipa huu Kuna huu mingine hata naisahau

Pale usharikani ukiwa unaenda ibada zote wanakupa kitengo🤣🤣unakua manamba wa kanisa, ukishapewa kitengo ni mtego huo
 
Bichwa Mokwee.! Lecturer hapa UD[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtego kivipi?[emoji23][emoji23][emoji23] ila nawe si unafaidika kwa viposho au?
 
Ngoja nikutimbie ofisini kwako one day[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…