Kwanini uliacha kwenda kanisani?

umemaliza kila kitu..

Kwa sasa ni upigaji karibu makanisa yote ....
 
ok mkuu.
Amri za Mungu ni amri hizohizo alizozishika Yesu (Yohana 15:9-17)
Yesu aliziweka hizo mbili. Zimebeba zile amri zote zilizotajwa katika agano la kale.Ukimpenda jirani(binadamu mwingine yoyote) hutafanya jambo ambalo hupendi pia kufanyiwa.
Vipi ya kuzini?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Nilivyogundua wanatuambia tunamtolea Mungu alafu linakuja kapu la binadamu na kingine nikagundua kuwa Mungu hana duka ambalo anaendaga kununua vitu nikaona huu ni umavi tu kwa sababu mapastor wamenawili wafuasi wanatia huruma wakisubiria huruma ya Mungu nikaona kumanisha nini?
 
Maana yake Wakristo wana uwezo mkubwa wa kuhoji
 
Kwani wanahitajika astronauts ndo iwezekane mkuu?.

Kubali tu.
Mbona mi nimekubali kirahisi๐Ÿคฃ
wee nimurembo muno.kurachuma hichoo๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
au tufanye hiviii ๐Ÿ‘‰mmmmwwwaaaaaaaaaaaaaa
 
Hapana mkuu, mimi siyo Cutewife[emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Ngoja mwanasheria wangu atoke evening glory ndo ntaongea ya moyoni๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Inaonekana mim peke yangu ndo ninayefurahia kuitwa jinsia isiyo yangu.

Wenzangu wote mkiambiwa mnaruka futi kumi.
Dhibitisha wewe sio cokakola bin cute mke๐Ÿคฃ
 
wee nimurembo muno.kurachuma hichoo๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
au tufanye hiviii ๐Ÿ‘‰mmmmwwwaaaaaaaaaaaaaa
Mi sio murembo mkuu๐Ÿคฃ.
Mi ni ribaba renzako๐Ÿคฃ
 
Baada ya kumtumia baba yangu kuwapatia wadhamini baada ya muda mrefu mzee naye akawa haezi tena basi wakamtimua na kumfungia asije tena kanisani tena hadi tukafungiwa geiti na walinzi wa kanisani pale Arusha mjini kati lutherani na huyo mchungaji alikuwa anaitwa mchungaji laroya , baadae tena mzee kavamiwa na hela za kujenga kanisa na kwa vipigo vyakutosha akafa pale makaburini watu wakasema bora amekufa tujilie vyetu ila sijaamini kafa eti .

Ila waleo hiyo dayosisi imefulia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ