Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Nililelewa katika maisha ya kikristo maombi kila siku.

Nilianza kufuatilia kiundani chimbuko la dini mbalimbali kwa kusoma sana vitabu, vya dini na vile vyenye kuelezea falsafa ya Imani na dini.

Katika kufuatilia sana nikakugundua kuna vitu havijawa connected vizuri jinsi wengi wanavyoamini, dini na Mungu wa kweli. Kuna ukinzani mkubwa sana, nikajisemeaga tu ngoja nimuamini Mungu ninayemjua.

Hapo ndo ulikuwa mwanzo wa kwenda kanisani kimachale.

But ntarudi tena church ila kwa style nyingine tofauti kabisa.


Kwenda kanisani siyo kumuomba Mungu, unaweza ukawa kwenye daladala na uko kwenye maombi deep mpaka wajinenea kwa lugha ndani kwa ndani.
 
Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Mkuu unanitisha [emoji16][emoji16]
 
2005 Ndio mwaka rasmi niliacha kwenda kwa kanisa ilikua Nairobi,Ni baada ya Nabii kusema kila muumini juma lijalo aende kanisani na shilingi elfu kumi ( ksh) ili amuangalie kama ameandikwa kwenye kitabu cha uzima mbinguni.tangu siku hiyo sija kanyaga tena
 
Mkuu Hutaki kujua kama umeorodheshwa katika list ya wateule!? 🙂

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa najiona mpumbafu sana nikikaa katika ibada yoyote ile sipendi ujinga wa kutishana ni miaka sasa siendi katika nyumba yoyote ya ibada, Ninafanya machache ya kiroho ambayo hunifanya nijione proudly naamini katika Grand Power(God)
 
Matapeli tu hawa Chief.

Dini ya kweli ishagaenda zake.. tumebakia na mifumo ya kitapeli na utengeneza fedha tu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watu walitoa pesa balaah Mkuu.wasio kuwepo ktk kitabu ilibid awaombee then wanatoa pesa tena ana waangalia kama wamekua registered
 
Mimi niliacha kwenda kanisani baada ya kanisa kuacha kumhubiri Mungu likaanza kumhubiri shetani.

Ilikuwa hainingii akilini kila nikienda kanisani Mungu anatajwa mara mbili shetani anatajwa kila baada ya maneno mawili.
 
Misa ya Kwanza unaombwa Mchango wa Bafu la Padre limetitia anaweza Kuzama na Wiki ijayo mkamosa wa Kuwaendeshea Ibada
Misa ya Pili unaomba Mchango wa Taulo la Padre kwani lile la zamani Shetani kalipitia Kambani
Misa ya Tatu unaombwa Mchango wa Kunyonya Kinyesi cha Padre wakati anayekijaza ni Yeye Mwenyewe kwa Utashi wake
Misa ya Nne ya Watoto unaombwa Mchango wa Kumuwezesha Padre Kuzurula katika Vigango vya Jumuiya

Kwa hali hii Mtu kama GENTAMYCINE nikiacha kwenda Ibadani Kanisani na nikiendelea Kuiabudu Mizimu yangu ya Kizanaki na Kimakuwa nakosea?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] believe me asilimia 95 walienda na hiyo pesa na jamaa akawapiga
 
Daniel mgogo namkubali sana
 
Una ID nyingi kinyama yaani🤣🤣🤣

Mods nao hawako nyuma, wako na wewe sahani moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…