BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Ni jambo la kawaida hapa nchini kwa mwanafunzi kuomba kusomea fani fulani katika vyuo mbalimbali, kwa kujaza fomu na kuonyesha kipi unapenda kusomea na kupangiwa cha kusoma na chuo/wazazi n.k
Tatizo kuna wasomi uchwara wanaojifanya wamebobea katika kumpangia mwanafunzi kipi asomee hata kama hana utashi ila alifaulu kwenze shule ya upili na kidato cha sita katika hayo masomo wanayokupangia. Kweli matokeo ni kigezo pekee? Kama ni kweli kwanini wanafunzi kwenye maombi mnawaambia wajaze vipaumbele vyao mnaishia kuvitupa.
Mfano binafsi niliwahi kuomba kusomea fani ya biashara nikachaguliwa na university Senate kusomea uhusiano wa kimataifa na utawala, niliachana nao nikaomba chuo kingine na kusomea fani ninayoipenda toka moyoni toka niko chekechea sijawahi jutia uamuzi wangu huo.
Siku hizi kuna TCU/Wazazi/Wizara/Taasisi za serikali/vyuo vinalazimisha mwanafunzi asomee kozi fulani. Japo Kwenye post graduate restriction zinapungua/kuondolewa.Siongelei waalimu ambao inaaminika kuwa karibia asilimia tisini hawaipendi fani yao kwasababu hizo na zingine.
Swali langu kwanini tunaua vipaji/ubunifu na ndoto za wanafunzi kwa kuwapangia fani kusomea na kuzifanyia kazimsishangai sana kuona performance za mtu aliyesomea fani yake ikawa bora kuliko yule wa kusomea vya kupangiwa mmewahi jiuliza kwanini akina Messi,Ronado,Rooney hawana degree lakini wameendelezwa kwenye vipaji/fani zao?
Karibu kwa walioguswa na hilo tatizo.