Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria.?.

Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria.?.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Kwanini ukiwa unamfikiria mtu na yeye muda huo huo anakuwa anakufikiria .

Kabla haujampigia anakupigia au vise versa yake , unajua inasabaishwa na nini hali hii !?

Usiondoke hapa ! Namaliza kula nakuja.

Hapa ndo utajua umuhimu wa kuwa na positive thinking .
 
Huu ni uongo mkuu,afu uongo umeanza tangu uoe.Namwonea huruma mkeo
Uongo upo mbali kabisa na mimi mkuu , nimetafuta mke wa kuoa imeshindikana, nipo single kabisa 😊😊. Unaonaje uzibe hili pengo??
 
Back
Top Bottom