Kwanini ukitongozwa unatukana badala ya kukataa?

Status kivip mkuu? Manake navyojua mimi mwanamke ni mwanamke tu!! Na akipata mwanaume lengo kuu ni kutiwa tu, hakuna jingine! Mnaposema status mna maanisha nini?? Au kuna wengine ni wa mapambo na wengine ni wa kutiwa??
Huo ndo ukweli... Mwanamke ni mwanamke tu hata awe mke wa mkuu wa nchi... Na mwanaume ni mwanaume tu hata awe maskini vipi.. Inacho bidi utulie utiwe vema acha matusi
 
ha ha ha kwamba huyu kazi kutuma vimeseji dem akiuchuna kumpima imani "sina salio" anajibu poa wangu ukirecharge nichek ataachaje kutukanwa lol....

Na wala hii haijawa sababu ya kutukana. Kama haupo satisfied na financial status ya mtu, onyesha utu kwa kumjibu vizuri...! Kutukana ni kuonyesha ulivyo shallow upstairs..
 
Nakubali kama a lady na pia wapo wanaume ambao unawakataa kistaarabu ila wanaanza kukutukana na kukuzushia stori hao unawachukuliaje?

Hii mada inawahusu "kinadada wanaotukanwa wakitongonzwa".....na wewe anzisha ya kwako inayowahusu "kinakaka wanaotongoza wakikataliwa wanatukana na kuzusha stori za uzushi....."
 
KikulachoChako

KikulachoChako
umenikumbusha mbali sana.....! Kuna binti nilimtongoza mwaka 1987 akaniangalia kuanzia kichwani mpaka unyayoni kisha akatema mate na kusema mimi sio hadhi yake!!!! Nilijisikia vibaya sana......Sasa nimekutana naye mwaka 2012 eti ananiambia lile ombi langu la mwaka 1987 amelikubali. Aliniudhi sana........!!!!
 
Last edited by a moderator:
KikulachoChako umenikumbusha mbali sana.....! Kuna binti nilimtongoza mwaka 1987 akaniangalia kuanzia kichwani mpaka unyayoni kisha akatema mate na kusema mimi sio hadhi yake!!!! Nilijisikia vibaya sana......Sasa nimekutana naye mwaka 2012 eti ananiambia lile ombi langu la mwaka 1987 amelikubali. Aliniudhi sana........!!!!

Kiongozi, 1987 ulikuwa na uthubutu wa kutongoza? Samahani kwa kutoka nje ya mada...!
 
Last edited by a moderator:
KikulachoChako umenikumbusha mbali sana.....! Kuna binti nilimtongoza mwaka 1987 akaniangalia kuanzia kichwani mpaka unyayoni kisha akatema mate na kusema mimi sio hadhi yake!!!! Nilijisikia vibaya sana......Sasa nimekutana naye mwaka 2012 eti ananiambia lile ombi langu la mwaka 1987 amelikubali. Aliniudhi sana........!!!!

Mkubalie mkuu maana ule ujinga umeshamuisha....hahahaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hii mada inawahusu "kinadada wanaotukanwa wakitongonzwa".....na wewe anzisha ya kwako inayowahusu "kinakaka wanaotongoza wakikataliwa wanatukana na kuzusha stori za uzushi....."

Ndio maana nikasema kama mwanamke nakubali kuwa tupo hvo
 
KikulachoChako umenikumbusha mbali sana.....! Kuna binti nilimtongoza mwaka 1987 akaniangalia kuanzia kichwani mpaka unyayoni kisha akatema mate na kusema mimi sio hadhi yake!!!! Nilijisikia vibaya sana......Sasa nimekutana naye mwaka 2012 eti ananiambia lile ombi langu la mwaka 1987 amelikubali. Aliniudhi sana........!!!!

Ha, ha, ha
 
Last edited by a moderator:
Mkubalie mkuu maana ule ujinga umeshamuisha....hahahaaaaaaa
Aaaaa wapi mkuu........Ule utamu aliokuwa nao kipindi kile ambao niliutamani na ku u-imagine mpaka nikamtongoza utamu huo utakuwa hamna tena. Ni makapi tu......!
 
Ukitukanwa au kusonywa ujue haujasoma alama za nyakati. usimtongoze akiwa bize, ktk umati wa watu, kachoka na shughuli za siku n.k. Mtongoze ktk hali ambayo ni kinyume na hiyo hali niliweka hapo juu, hata akikukataa, atakukataa kistaarabu!
 
Mie sijawahi kutukana mtu kwanza ni ushamba huo kabisa kwani2, umtukane mtu si umjibu vzr tu kwani utapungikiwa ni2 au yeye atapungukiwa ni2 endapo ukimjibu vzr?
 
KikulachoChako umenikumbusha mbali sana.....! Kuna binti nilimtongoza mwaka 1987 akaniangalia kuanzia kichwani mpaka unyayoni kisha akatema mate na kusema mimi sio hadhi yake!!!! Nilijisikia vibaya sana......Sasa nimekutana naye mwaka 2012 eti ananiambia lile ombi langu la mwaka 1987 amelikubali. Aliniudhi sana........!!!!

kwel jamii forum imejaa vikongwe,mwak 1987 unapg mech za mchangan

heshima kwako mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Ndo wanawake kijana ndo dada,zetu tuwachukulie tuu maana unakuta wakati mwengine mwanamke anaonyesha hisia zote za kukutaka ila ukimfata uanze tongozo unachezea tusi fasta sijui ndo ikoje ila dawa yao potezea tu wataolewa nawasagaji wenzao
 
We mi cfi kw presha ksa mtongozo yaan ucpontongza hata miaka kum yan nakua fresh tena na nenepa maana nakuwa km nimetua tufe kah. Af mtongz unaomwendea mdad inategemea, na wadad wa stail hyo ni foolsh age anakuona we mbaba mkubwa age yako huna?
 
Na wala hii haijawa sababu ya kutukana. Kama haupo satisfied na financial status ya mtu, onyesha utu kwa kumjibu vizuri...! Kutukana ni kuonyesha ulivyo shallow upstairs..

Mkuu pokea likes 100 umenena vema
 
Back
Top Bottom