Kwanini ukitongozwa unatukana badala ya kukataa?

Kwanini ukitongozwa unatukana badala ya kukataa?

el nino

Nakubali kama a lady na pia wapo wanaume ambao unawakataa kistaarabu ila wanaanza kukutukana na kukuzushia stori hao unawachukuliaje?
 
Last edited by a moderator:
vile vile wanatukana wale ving'ang'anizi,

mtu huna hadhi lakini umekomaa tu, kwanini asikutukane!

Status kivip mkuu? Manake navyojua mimi mwanamke ni mwanamke tu!!

Na akipata mwanaume lengo kuu ni kutiwa tu, hakuna jingine! Mnaposema status mna maanisha nini??

Au kuna wengine ni wa mapambo na wengine ni wa kutiwa??
 
Unaposema hadhi unamaanisha nini...naomba unielimishe hapa

Swali zuri sana! Eti hadhi!! Mwanamke ni mwanamke tu, na lengo la kuwa na mwanaume ni kutiwa tu!! Hayo mengine ni ya ziada, na hizo hadhi zinawapumbaza sana!!
 
Sihongi ila natoa ikibidi
Naona umeamua kubadilisha jina kuhonga na kuita ulivyokuaita.....kama ndio hivyo majanga....nlidhani tunatukanwa sisi tusiotoa ha sumuni...kumbe hata wewe ambae huwa unatoa ikibidi..
 
el nino

Braza ujue tatizo linalokusababishia utukanwe ni kuwa wewe utakuwa unaendekeza sana tabia za I LOVE U kutwa kwenye inbox ya huyo dada afu ikija kwenye vitendo hakuna kitu....

We ukitaka kuwa unapewa misifa na wakugande jaribu kubadilisha style ya utongozaji wako kwa kupima mtu unayemtaget maana mademu wamegawanyika kwenye makundi mbalimbali so acha kupeleka mademu wenye swaga za mcity pande za meeda na wale wa kfc pande za mcity vinginevyo daily utafail
 
Last edited by a moderator:
Naona umeamua kubadilisha jina kuhonga na kuita ulivyokuaita.....kama ndio hivyo majanga....nlidhani tunatukanwa sisi tusiotoa ha sumuni...kumbe hata wewe ambae huwa unatoa ikibidi..

Sijawahi tukanwa mkuu
 
Status kivip mkuu? Manake navyojua mimi mwanamke ni mwanamke tu!! Na akipata mwanaume lengo kuu ni kutiwa tu, hakuna jingine! Mnaposema status mna maanisha nini?? Au kuna wengine ni wa mapambo na wengine ni wa kutiwa??

Namsubiria hapa anijibu
 
el nino

kutongozwa raha asikwambie mtu, ila mtongozaji uwe unajua kutongoza sio unatongoza utadhani umekurupushwa kwenye ndoto ya mauzauza
 
Last edited by a moderator:
Kama wanaume huna pesa wanawake wanakutukana tu maana wamechoka na maneno mengi kumbe hamna lolote
 
Kuna wakati wanawake hujisahau sana hasa kipindi cha usichana...huwa wanahisi watabaki hivyo milele kana kwamba kuna mahali umri wao umewekwa pause...

ni wakati ambao wanapokea order nyingi kama mawaiter pub...ni wakati ambao wanapata kusikia miluzi mingi inayowafanya wanachanginyikiwa kwani wazee walisema kuwa miluzi mingi humpoteza mbwa...na ndio kipindi ambacho binti anakuwa kwenye kilele cha uzuri na urembo kwani anakuwa kama ua lililochanuwa kondeni...na ndio wakati ambao binti hujawa na kiburi sana na jeuri kila akijiangalia chuchu ilivyosimama wima kwenye kioo na kujisemea moyoni kuwa kwa hakika mimi ni mrembo...

kwani anajihisi ulimwengu wote upo mikononi mwake...na ndio kipindi unaweza kumtongoza binti akakuangalia kuanzia kichwani mpaka unyayoni alafu anatema mate chini kwa dharau.....

Na ndio wakati ambao binti anakuambia wewe sio hadhi yangu kwani hamuendani hata kidogo......lakini maisha yanakwenda kasi sana baada ya miaka kadhaa unamkuta binti huyo anatafuta au analalamika kuwa siku hizi hakuna wanaume waoaji bali wachezeaji...hayo huja baada kuruhusu mwili kuchezewa na fedha.....hapo ndipo unapo chanika mbavu kwa kicheko kila ukikumbuka dharau za kipindi cha usichana wake...

WANAWAKE BWANA...
 
KikulachoChako

Word tatizo madem huwaga wana expire date... Hawezi kuwa kwnye peak ya uzuri hata kwa miaka mitano...tena especially wakizaa halaf wakaachwa ndo hugundua kuwa makomamanga ni matamu
 
Last edited by a moderator:
Status kivip mkuu? Manake navyojua mimi mwanamke ni mwanamke tu!! Na akipata mwanaume lengo kuu ni kutiwa tu, hakuna jingine! Mnaposema status mna maanisha nini?? Au kuna wengine ni wa mapambo na wengine ni wa kutiwa??

weee eti lengo kuu nini??

wakikusikiaaaaa!!! waulize wenyewe top 3 zao ni zipi kisha waulize na wanaume manake usikute hata wewe hujielewi top 3 zako ni zipi ktk relationship.

Au vipi fukunyua humu utakuta mabandiko kibao kuhusu hilo
 
Back
Top Bottom