Mi jana tu nimetoka kutukanwa
We mi cfi kw presha ksa mtongozo yaan ucpontongza hata miaka kum yan nakua fresh tena na nenepa maana nakuwa km nimetua tufe kah. Af mtongz unaomwendea mdad inategemea, na wadad wa stail hyo ni foolsh age anakuona we mbaba mkubwa age yako huna?
Mkuu wewe huangalii status kama wengine wanavodai?
ha ha ha kwamba huyu kazi kutuma vimeseji dem akiuchuna kumpima imani "sina salio" anajibu poa wangu ukirecharge nichek ataachaje kutukanwa lol....
asante baba........money by all means
Inategemea na uumri wako kama ni above 30 weng huwa hawajali mitongozo
kwahiyo ka si hadhi ukijibu bila dharau na matusi..inakua shida sana eeehee..?
unajua nini,sometmz mtu una mastress yako mawazo yani kichwani network busy af mtu unaleta mamitongozo tena ukute hayajaenda skul mtu.anaambiwa haelewi.eeh ajue matusi yatafuata
Ndio maana nikasema kama mwanamke nakubali kuwa tupo hvo