Kwanini ukiogelea haya maeneo Matatu ya Bahari ya Hindi ( Dar es Salaam ) ni lazima tu utazama na hata Kufa?

Kwani huu Uzi kuanzia katika ' Headline ' yake hadi katika ' Content ' yake na ' Comments ' za Wadau umeona una ' Vinasaba ' vyovyote na Ziara ya Mheshimiwa Rais huko Kusini? Siku nyingine acha Kuwa Mpuuzi tafadhali sawa?
Popoma umekutana na popoma
 
Aliyekuambia kuwa wanaoogelea hapo Gymkhana na Agha Khan wote ni Raia wa Kawaida ni nani Mkuu? Sasa kama unajua wote hao huwa ni Raia Wenzako nakuomba Kesho nenda Kaogelee pale tena ukiwa nao Majini kisha jifanye tu unatupa chochote Majini au anza Kupiga nao Stori za Kisiasa za nchi hii au hoji alipo Ben Saaeight au kwanini Kisiwa kilichopo kwa mbele hayo Maeneo Kinalindwa mno na hata Ndege huwa haziruhusiwi kupita hapo kisha baadae ndipo utajua kuwa Waogeleaji wengi hapo ni akina nani. Hoja zako zingine nazikubali hasa Kijiografia na umezielezea vyema tu ila kwa hilo eneo la Salenda hadi huko Gymkhana na Agha Khan tutakesha hapa tukibishana na sitokukubalia kwa huu Utetezi wako Ndugu.
Una umri gani? Au utakuwa mbugila ww
 
Ingeku hivyo coco pangefungwa kwa sababu pana makazi rasmi ya waziri mkuu
Salander haparuhusiwi kuogelea ni kwa sababu ndio mwisho wa mto msimbazi,pana wadudu,wanyama na kemikali zote zinazozolewa jijini,ni hatari sana kukoga pale,sio eti kwa sababu ni njia kuu inayopitiwa na viongozi
Salander kuna aina gani ya wanyama mkuu ?
 
Kama kawaida yako umeagiza porojo za habari za vijiweni Mada zako huwa hatuchangii sana sababu sehemu kubwa zinakuwa na porojo za vijiweni uswahilini zisizo na kichwa Wala miguu.

Mada yako imejikita kwenye taarifa na vijiweni na porojo za kufikirika za kishirikina

Hapo watu wanaogelea Bila woga maelfu kuanzia wahindi,wazungu waarabu nk asubuhi na jioni mamia wa rangi zote na mataifa yote hufanya mazoezi hapo

Anyway kifupi habari zako za kuokoteza vijiweni na kuzileta humu huitendei haki jamii forums gentamicin Hili ni jukwaa la great thinkers sio la porojo za vijiweni
Binafsi nilipousoma uzi wake na pia namna anavyowajibu watu nikabaini mleta mada alitaka majibu ya kua maeneo tajwa yanahusishwa na ushirikina, mambo ya majini majini hiviiiiiiii...in short ameokoteza story kijiweni, ambapo wengi wa wapiga soga ni waongoooo sababu hujua wanapiga soga na wajinga wenzao...so jibu la kumridhisha huyu mleta mada ni kuhusisha maeneo hayo na uchawi/ushirikina basi moyo wake ungefurahi kweli...ila bahati mbaya hakuna member aliyetoa maelezo anayoyataka yeye.
 
Rudi tena hapo Kondo Ndugu kita Kambi kwa muda uwaulize Wadau wa hapo watakupa Habari yake kwani huo Ukanda huwa haupiti muda kuna Majanga huwa yanatokea na ukitaka kujua kuwa sehemu fulani ni hatarishi basi utaona hata Wavuvi nao wanaiogopa. Kuhusu hapo Salenda Watu kuzuiwa Kuogelea sidhani kama ni sababu ya Mauzauza yaliyomo ndani ya Maji ( Baharini ) hapo ila ukiniambia kuwa ni sababu za Kiusalama hasa kutokana na Umuhimu wa eneo husika na hasa ukizingatia kuwa hiyo njia / barabara inatumika na Viongozi Wakuu na Waandamizi wa nchi hii na pia ni eneo lililokaa Kimkakati zaidi naweza Kukuamini kwa 100% zote.
Salenda apo ni mkondo wa maji machafu yanayotoka hospital, naitaani kwaiyo ndo yanaanzia kuingia
 
Aliyekuambia kuwa wanaoogelea hapo Gymkhana na Agha Khan wote ni Raia wa Kawaida ni nani Mkuu? Sasa kama unajua wote hao huwa ni Raia Wenzako nakuomba Kesho nenda Kaogelee pale tena ukiwa nao Majini kisha jifanye tu unatupa chochote Majini au anza Kupiga nao Stori za Kisiasa za nchi hii au hoji alipo Ben Saaeight au kwanini Kisiwa kilichopo kwa mbele hayo Maeneo Kinalindwa mno na hata Ndege huwa haziruhusiwi kupita hapo kisha baadae ndipo utajua kuwa Waogeleaji wengi hapo ni akina nani. Hoja zako zingine nazikubali hasa Kijiografia na umezielezea vyema tu ila kwa hilo eneo la Salenda hadi huko Gymkhana na Agha Khan tutakesha hapa tukibishana na sitokukubalia kwa huu Utetezi wako Ndugu.

Ninavyojua Salenda ni lango la wachawi.
 
kuhusu sehem hizo zingine sijui ila Msasani Beach karibia na Soko la samaki aiseee nishawahi kuogelea mara kadhaa....

Kina cha pale ni kirefu, yaan kuingiza nyayo tuu maji magotini, thus mkiwa pale mnaoga while boats na mitumbwi imetia nanga ko inaonyesha kina ni kirefu pale
Maji yake yametulia hakuna mawimbi, view kali towards Yatch Club, SlipWay, Double Tree... ( wazungu wanafaidi sana )

Ila ubaya wa pale, Shombo sana....

Watoto wa Msasani wengi wanaojua kuogelea wameanzia pale na si Coco.

Nilipoanzisha huu Uzi nilikuwa nataka Majibu ya Kinadharia, Kitaalam na Kiuzoefu kama hivi na nashukuru Ndugu kwani hauko mbali sana na ambayo nimeyasikia kutoka kwa Wadau wa hayo maeneo. Heko sana Ndugu. YEHODAYA utajitahidi mno Kupambana na Mimi, Kunifuatafuata na Kunidhihaki kwa kila namna ila nakuhakikishia kuwa hakuna utakachokipata au utakachoniweza sana sana unazidi tu Kunithibitishia kuwa una Chuki iliyopitiliza na Mimi inayotokana na Upumbavu wako wa Kurithi ambao pengine bado hujaupatia Tiba yake ya Kudumu. Pole sana na sijaanza Kukudharau leo.
 
Ingeku hivyo coco pangefungwa kwa sababu pana makazi rasmi ya waziri mkuu
Salander haparuhusiwi kuogelea ni kwa sababu ndio mwisho wa mto msimbazi,pana wadudu,wanyama na kemikali zote zinazozolewa jijini,ni hatari sana kukoga pale,sio eti kwa sababu ni njia kuu inayopitiwa na viongozi

Asante kwa Shule Kubwa hii uliyonipa Ndugu. Tuko pamoja.
 
Aliyekuambia kuwa wanaoogelea hapo Gymkhana na Agha Khan wote ni Raia wa Kawaida ni nani Mkuu? Sasa kama unajua wote hao huwa ni Raia Wenzako nakuomba Kesho nenda Kaogelee pale tena ukiwa nao Majini kisha jifanye tu unatupa chochote Majini au anza Kupiga nao Stori za Kisiasa za nchi hii au hoji alipo Ben Saaeight au kwanini Kisiwa kilichopo kwa mbele hayo Maeneo Kinalindwa mno na hata Ndege huwa haziruhusiwi kupita hapo kisha baadae ndipo utajua kuwa Waogeleaji wengi hapo ni akina nani. Hoja zako zingine nazikubali hasa Kijiografia na umezielezea vyema tu ila kwa hilo eneo la Salenda hadi huko Gymkhana na Agha Khan tutakesha hapa tukibishana na sitokukubalia kwa huu Utetezi wako Ndugu.
Kuna kisiwa ghani hicho kinacholindwa?
 
Mbona Majisifu ya Kijinga ni mengi hapa kuliko Ujengaji wa Hoja juu ya Suala husika? Halafu anayejua Kuogelea huwa hajisifu Ndugu. Na kwa aina ya hii Mikogo yako hapa nahisi kabisa Kikabila Wewe ni lazima tu utakuwa ama ni Mhaya au Mjita au hata Mnyakyusa kwani Kupenda Majivuno ( Sifa ) ni Utamaduni wenu tokea Bara la Afrika lilipoundwa na Maulana / Mola.
Utakuwa Gentamyacine WEWE.
 
na ukichunguza zaidi kama hapo soko LA samaki huwa wanazama zaidi RAIA ila wavuvi hawazami

ni sawa na Ununio ambako zaidi RAIA ndio waathirika...lakini kwa wajeda hakuna wahanga was kuzama

*wengi wa wanaozama huwa hawana experience na kuogelea!!
Ununio seheme gan wazee maana hawii ndio beach yangu hebu tupeane clue kabla hayajatokea yatarajiwayo
 
Ununio seheme gan wazee maana hawii ndio beach yangu hebu tupeane clue kabla hayajatokea yatarajiwayo

Kaogelee Kwanza na ikitokea umezama na Kuondoka duniani ndiyo tutajua ni sehemu gani kwa hapo ni mbaya kwa Waogeleaji sawa?
 
Back
Top Bottom