Kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?

lkn pia Mimi nikimkazia mtu kumtazama kichogoni lazima mtu huyo ageuke hii hali husababishwa na nini? Yani huwa sipatagi tabu kuinua sauti yangu kumuita mtu, kama mtu nashida nae huwa nalenga macho yangu ktk ncha ya kichogo chake kwa umakini bila kukopea lazima mtu huyo ageuke kunitazama.
Nguvu ya macho kwenye mawasiliano ya kiroho.... Huhawilisha na kuvutia nishati hai
 
Mi namuangalia sana mwanangu na mpenzi wangu usoni mara kibao tu wakiwa wamelala na hawaamki

Sidhani kama ulichoandika ni cha kweli
 
Nimeandika uhalisia... Sijaandika ukweli... Ukweli ni dhana finyu yenye mapengo mengi na udhaifu ndani yake
 
NI kweli tafiti zinaonyesha kuwa hata unapokuwa umelala ubongo huendelea kufanya kazi na maadamu jicho la tatu hasa liko ndani ya ubongo nadhani kumtazama mtu usoni inaweza kuwa inafanya jicho la tatu aliye macho na aliye lala establishe connection kama ulivyosema nanuku (The third eye is located behind the forehead, between the skull and the brain, in front of what is also called the spiritual valley or the crack between the two hemispheres of the brain. Your first task is to put your mind in that area without tensing the eyes or the face)
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ukinuia kumuita mtu aliye na mtu kwa bar bc mtazame usoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii nayo ni kweli, Mara nyingi mtu Nikitaka kumuita akiwa mbali namuangalia usoni, kisha tunaonana narahisisha kazi ya kumuita
 
lkn pia Mimi nikimkazia mtu kumtazama kichogoni lazima mtu huyo ageuke hii hali husababishwa na nini? Yani huwa sipatagi tabu kuinua sauti yangu kumuita mtu, kama mtu nashida nae huwa nalenga macho yangu ktk ncha ya kichogo chake kwa umakini bila kukopea lazima mtu huyo ageuke kunitazama.
Hata mademu waliosuka manywele na waliovaa mawigi hua wanageuka pia?
 
Mkuu Mshana, napenda kulala chali ndo aina ya kulala ambayo nipo comfortable nayo sana, na huwa sina kawaida ya kuota ndoto za ajabu ajabu, ikitokea basi ni ndoto za kawaida tu. Hiyo imekaaje!!
 
Mm huwa nikilala watu wakiwa wanaongea

Huwa inanitokea mara chache nakmbuka mazngumzo yte walyokua wanaongea hta kama usingiz ulkua mzito vipi
 
Mkuu Mshana, napenda kulala chali ndo aina ya kulala ambayo nipo comfortable nayo sana, na huwa sina kawaida ya kuota ndoto za ajabu ajabu, ikitokea basi ni ndoto za kawaida tu. Hiyo imekaaje!!
Haina shida kwakuwa hii haitokei kwa kila mtu.... Ukiona hivyo tambua kuna tally kati ya mfumo wako na wa vile vipitavyo angani
 
Labda Kama sio usingizi wa pono!!
Hilo jicho la tatu sioni hata faida zake,kwanza hata uwepo wake naona ni dhahania!!.. watu wanakufa moto unawaka ndani ati kwa kumuangalia usoni mtu aamke!!,kama lina machale vifo vya kizembe visingekuwepo!
Mi Nafikiri maisha ni halisi kushinda hata hizi nadharia za kiroho,kimungu na kishetani.
 
Okay
 
Mi namuangalia sana mwanangu na mpenzi wangu usoni mara kibao tu wakiwa wamelala na hawaamki

Sidhani kama ulichoandika ni cha kweli
Sasa wewe unataka aamke ingali sio lengo lako kumuamsha. Ebu jaribu siku moja kupanga na mkeo kuwa utamuamsha alafu ukitimia ule muangalie usoni uku ukiikumbuka ile ahadi kama hataamka
 
Back
Top Bottom