strategist22
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 655
- 599
Ubarikiwe kwa Mambo hii.
Tupendekezee vitabu vinavyoweza kutuongezea maarifa zaidi,juu ya jambo hili.
Tupendekezee vitabu vinavyoweza kutuongezea maarifa zaidi,juu ya jambo hili.
Nikushukuru mshana jr. Ninafuatilia mada zako kwakwel ninapata uelewa wa hali ya juu. Ila kuna kitu umeibua kwenye kichwa changu nini tofauti kati ya uhalisia na ukweli? Ninaomba ufafanuz zaid ikikupendeza.Nimeandika uhalisia... Sijaandika ukweli... Ukweli ni dhana finyu yenye mapengo mengi na udhaifu ndani yake
Ukimtazama mtu akiwa mzima,amelala au amekufa siku chache mfano siku 1hadi3 paji lake huwa linatoa signals (mawimbi) kama uwezo wako wa kunasa signals(mawimbi) na kutafsiri upo juu utasikia hadi sauti yake inakusemesha au weweza kumuongelesha, kama naye ana uwezo mkubwa wa kutumia signals(mawimbi) ya paji lake ataamka au atatoa jibu..Ni sayansi gani hii? Ni uchawi!? Ni mazingaombwe ama ni jambo la kufikirika tu lisilo na ukweli wowote?
Niliahidi kuleta mada hii, baada ya Dr. Shika kuchagiza kwenye simulizi yake ya kutoroka watesi wake kwamba hakumwangalia yule mtesi mlinzi aliyebaki naye machoni la sivyo jamaa angeamka!
Tujadili kipengele kwa kipengele.
A. Kwenye mada zilizopita za jicho la tatu, majinamizi na jicho la rohoni tuliona jinsi jicho la tatu lilivyo na nguvu pale macho yaonekanayo yakiwa yamefumba, yamelala.. Kumbuka jicho la tatu liko kwenye paji la uso.. Tunapozungumzia mawasiliano ya kiroho kiunganishi ni jicho hilo la tatu kwamba kuna muunganiko usioonekana kati ya jicho la tatu na jicho la tatu lingine...
Kama nilivyosema kwenye mada ya majinamizi na ndoto mbaya hatushauriwi kulala chali kwakuwa juu yetu zinapita roho nyingi na za kila aina, ambazo connection yake ni jicho hilo la tatu
B. Wachawi na wanga hutumia sana jicho la tatu kufanya mawasiliano ya kiroho na ndio maana wanapotaka kuingia ndani ya nyumba kwanza kuingia kinyume nyume kwa rivasi na wakiwa uchi... Hapa ni kuepusha uwezekano wowote wa wewe kuna na direct connection ya jicho la tatu na yeye... Akishafanikiwa kuingia ndani akakukuta umelala chali hapo hataweza kuwanga tena bali yataanza mapambano mengine ya kutaka akugeuze au kukupindua ili afanye yake... Lakini kwakuwa tayari ile connection ishakuwa established basi subconscious mind inakuwa alert na ndio mwanzo wa kukabana..
Jiulize kwanini wanaoingiliwa na popobawa hawana kipingamizi chochote, hujikuta tayari washachafuliwa..
C. Muingiliano mwingine wa jicho la tatu ni ndege kunguru mwewe, huyu ni ndege mwerevu na mwepesi sana huwezi kumpiga akiwa mbali, hivyo wajuzi huenda kinyume nyume mpaka kumkaribia kabisa ndio hugeuka na kumpelekea moto... Ukiweza kurudi rivasi kwa kunyooka, unaweza kumkaribia kunguru mpaka umbali wa mita tano.. Unaweza kufanya majaribio
D. Mwili wetu huu una mashine tatu moja ni conscious mind na nyingine ni subconscious mind na ya tatu ni unconscious mind
-conscious mind- ni hii hali tuliyo nayo ya kuweza kufanya kila kitu kwa utashi na bila utashi, kuandika kuongea kuvaa nguo nk nk, ni katika hali hii subconscious mind (jicho la tatu) nayo hufanya kazi.. Hii hufanya kazi ya ulinzi kuzunguka mwili wote na ndio maana huwa tunahisi kuna mtu anatunyemelea, kuna mtu yuko nyuma yetu ama kuna hatari inatukaribia.. Lakini vilevile hufanya kazi ya machale... Jicho la tatu huona zaidi ya kuona (seeing beyond) huwa tunapewa tahadhari na nafsi zetu, huwa tunasita kufanya jambo . hii ni kazi ya subconscious mind... Halafu kuna hali ile ya kuzirai ama kupoteza fahamu... Hii ndio unconscious mind... Macho yote mawili yamezima, jicho la tatu nalo linakuwa kwenye dormance state.. Lipo lakini utendaji hupungua uwezo mpaka kufikia chini ya asilimia 50 ili kulinda uhai kidogo uliobakia. Ni sawa na kukipunguzia mizigo chombo baharini kinachokaribia kuzama ili kisizame
Sasa tuhitimishe kwa suala la Dr Shika, aliachwa na mlinzi lakini akalala kutokana na uchovu pombe na madawa.. Lakini kwakuwa tayari ana ufahamu (inbuilt intuition) wa kumlinda Dr, hivyo hata alale vipi lile jukumu kiroho hubaki kwenye subconscious mind/jicho la tatu na ikitokea ukamwangalia usoni una establishe connection kati yako na yeye na kumfanya ashtuke na kuamka
ur wrong my brother,truth is a fact and fact" is something/matter which is scientifically proved.Nimeandika uhalisia... Sijaandika ukweli... Ukweli ni dhana finyu yenye mapengo mengi na udhaifu ndani yake
Ukweli huendana na tamaduni, mila na desturi... Ukweli wangu hauwezi kuwa wako.... Ukweli ni mtazamo lakini uhalisia sio dhana na hauathiriwi na tamaduni mila wala desturiNikushukuru mshana jr. Ninafuatilia mada zako kwakwel ninapata uelewa wa hali ya juu. Ila kuna kitu umeibua kwenye kichwa changu nini tofauti kati ya uhalisia na ukweli? Ninaomba ufafanuz zaid ikikupendeza.
HahahahahaaHata mademu waliosuka manywele na waliovaa mawigi hua wanageuka pia?