Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Uhm!!!! ,siyo kweliiiAnakupima unampenda kiasi gani, anapima uvumilivu wako n.k
Ah wapi hakuna kipimo cha kumuomba mtu hela bhana.Anakupima unampenda kiasi gani, anapima uvumilivu wako n.k
Shemela VP dadaangu madam S amechota mpunga alafu amekuacha nn, mbona sielew elew
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemela VP dadaangu madam S amechota mpunga alafu amekuacha nn, mbona sielew elew
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mbona iyo kibabe mzee..Anakutingishia tu kiberiti ili usimwone mrahisi. Ukitaka asikusumbue mfate tu moja kwa moja mwambie
"mama la mama nimemind flag nataka game" akikuambia ngoma ya bei ghali mtangazie dau. Ushindwe wewe tu sasa.
Mimi nimeachwa juz kisa eti nimeshindwa kumnunulia iphon x....akati mim mwenyew sina aiphon hakumbuki ata nilivyojitolea kuhusu problem zingine...aaaaaargh
Mkubwa mmh sina guts hizo....Mkuu chukua mkopo bank mnunulie iyo simu au upite na gari mpya uvimbe mtaani umuoneshe kwamba wewe ni kidume unaeza miliki vitu zaid ya iyo IPhone X.
Wakati wa kulipa upambane munyewe..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha Afadhali amekuacha hakuna mwanamke hapo .....mtu mwenye akili timamu hawezi kulilia iPhone x....Mimi nimeachwa juz kisa eti nimeshindwa kumnunulia iphon x....akati mim mwenyew sina aiphon hakumbuki ata nilivyojitolea kuhusu problem zingine...aaaaaargh
Kupima kwanza alafu mapenzi mbele kwa mbele hahaha