Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,


Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajawahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako.

Au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali.

Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.

2016-Stressed-black-man.jpg
 
Akiomba pesa usimpe imbisha taratibu ataelewa endapo ukitoa atachukulia kuna watu njee wanazifaidi(kutokana na nature ya mwanaume kutotulia sehemu moja) atakuwashia moto kila uchao matatizo lukuki mara simu imekua hivi,kodi ya nyumba,umeme,maji n.k
 
Anakutingishia tu kiberiti ili usimwone mrahisi. Ukitaka asikusumbue mfate tu moja kwa moja mwambie

"mama la mama nimemind flag nataka game" akikuambia ngoma ya bei ghali mtangazie dau. Ushindwe wewe tu sasa.
Hahaha mbona iyo kibabe mzee..

Lakini ndo kali yake..

Mambo za kuanzia kwenye urafiki zinatake taimu sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu chukua mkopo bank mnunulie iyo simu au upite na gari mpya uvimbe mtaani umuoneshe kwamba wewe ni kidume unaeza miliki vitu zaid ya iyo IPhone X.

Wakati wa kulipa upambane munyewe..
Mimi nimeachwa juz kisa eti nimeshindwa kumnunulia iphon x....akati mim mwenyew sina aiphon hakumbuki ata nilivyojitolea kuhusu problem zingine...aaaaaargh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeachwa juz kisa eti nimeshindwa kumnunulia iphon x....akati mim mwenyew sina aiphon hakumbuki ata nilivyojitolea kuhusu problem zingine...aaaaaargh
Hahahahahaha Afadhali amekuacha hakuna mwanamke hapo .....mtu mwenye akili timamu hawezi kulilia iPhone x....
Wenzie tunalilia mitaji ye analilia vitu vya kijinga mfyuuuuu shukuru mzee hamna mtu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom