Kwanini ukimbusu mtu unafumba macho?

Kwanini ukimbusu mtu unafumba macho?

Huwa anahofia wengine hawajui kukiss na huishia kurusha vimate mate. Hivyo hufumba macho ili kuepusha macho yasirukiwe na vimate mate.😡😡

Naomba Miongoze Kwa Hili...
Pale mtu anapomkisi mtu sana sana mpenzi wake yaan wakat wa romance yaan denda basi lazima ufumbe macho ni nn shida?
 
Huwa anahofia wengine hawajui kukiss na huishia kurusha vimate mate. Hivyo hufumba macho ili kuepusha macho yasirukiwe na vimate mate.😡😡
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hivi wengne hawapgi mswaki n balaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kabisa Mkuu vimate mate vyao vinaweza kuwa na sumu kali hivyo kusababisha upofu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaah nmecheka saaana mkuuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Soma vizuri mada ipo kwa mapenzi haramu yaani wazinzi kumbusu mama macho hufumbi fuatilia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom