Kwanini UKAWA wasishitakiwe?

Kwanini UKAWA wasishitakiwe?

Hizo niporojo tu za kujifariji hamna haja ya kushughulika nazo tunapaswa kujikita kwenye maendeleo ya nchi yetu
 
Angekuwa na ushahidi sehemu ya kwanza kuuweka ingekuwa kwenye ile petition aliyopeleka Tume ya Uchaguzi kwa sababu ndio huo huo ambao ungepelekwa mahakamani kama sheria ingeruhusu. Sasa kama hata kwenye Tume alipeleka maneno tu yasiyokuwa na mbele wala nyuma huo ushahidi ambao angeumwaga kwa wananchi utatoka wapi? Hata hivyo Lowasa amesema wanakusanya ushahidi halafu siku moja watautoa kwa wananchi . Mpaka muda huu bado haujawa tayari. Ndio Ukawa hao lakini ndani ya Ukawa kuna wenye akili zao kama kina Tundu hutasikia wakiongelea ngonjera za kuibiwa kura.

Kama JPM angekuwa anajiamini hivyo si angemruhusu Lowasa ataapike nyongo yake hadharani pale Jangwani?? Mbona mnamzuia? Huo ushahidi auweke wapi kama sio hadharani tuujue tujinyamazie?? Nenda sasa weye mahakamani
 
Kila mara nimekuwa nikimsikia Lowassa, Mbowe, Mbatia &Co. wakisema kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita lakini bila kutoa ushahidi wowote ule, sasa nauliza ni kwa nini wasishitakiwe kwa uzushi ambao wanajaribu kuwaaminisha baadhi ya watu mambo ya Uongo?

Hivi sasa kuna baadhi ya wananchi wamepoteza Imani na Serikali na vyombo vyake kwa sababu ya tuhuma za ukawa kwamba serikali yetu iliiba kura wakati mpaka leo hii ukawa hawajaonyesha ushahidi wowote ule. Sasa hamna sheria ya kuwashitaki?
mkubwa kwa sheria ipi na kifungu kipi, na dunia ya leo usingoje ufanyiwe anza kwenda wewe mahakamni maana mtu yeyote anaweza kwenda mahakamani anapoona sheria imevujwa. Nenda fasta, kama huna nauli pitia lumumba wakupe
 
Kila mara nimekuwa nikimsikia Lowassa, Mbowe, Mbatia &Co. wakisema kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita lakini bila kutoa ushahidi wowote ule, sasa nauliza ni kwa nini wasishitakiwe kwa uzushi ambao wanajaribu kuwaaminisha baadhi ya watu mambo ya Uongo?

Hivi sasa kuna baadhi ya wananchi wamepoteza Imani na Serikali na vyombo vyake kwa sababu ya tuhuma za ukawa kwamba serikali yetu iliiba kura wakati mpaka leo hii ukawa hawajaonyesha ushahidi wowote ule. Sasa hamna sheria ya kuwashitaki?

Itunge wewe hiyo sheria na uwafikishe mahakamani..!!
 
....
Leo hii kila mtu anajua kwamba Raisi wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli, ameshapongezwa na nchi nyingi Duniani ikiwemo Marekani, Umoja wa Ulaya hata Ban Ki Moon Mkuu wa Umoja wa Mataifa, majirani zetu wote akiongozwa na Mkuu wa AU walifika kwenye sherehe ya kumuapisha Raisi wetu sasa huko kutokumtambua Raisi Magufuli kunakoendelezwa na ukawa kutasaidia nini kama Dunia nzima imesharidhia kwamba Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki?
 
Last edited by a moderator:
Kila mara nimekuwa nikimsikia Lowassa, Mbowe, Mbatia &Co. wakisema kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita lakini bila kutoa ushahidi wowote ule, sasa nauliza ni kwa nini wasishitakiwe kwa uzushi ambao wanajaribu kuwaaminisha baadhi ya watu mambo ya Uongo?

Hivi sasa kuna baadhi ya wananchi wamepoteza Imani na Serikali na vyombo vyake kwa sababu ya tuhuma za ukawa kwamba serikali yetu iliiba kura wakati mpaka leo hii ukawa hawajaonyesha ushahidi wowote ule. Sasa hamna sheria ya kuwashitaki?

Ndo ujiulize kama wanamakosa basi wangechukuliwa hatua ila ukiona kimya basi ujue ni kweli. Fikira zako ndogo sana wewe batamaji.
 
Kila mara nimekuwa nikimsikia Lowassa, Mbowe, Mbatia &Co. wakisema kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita lakini bila kutoa ushahidi wowote ule, sasa nauliza ni kwa nini wasishitakiwe kwa uzushi ambao wanajaribu kuwaaminisha baadhi ya watu mambo ya Uongo? Hivi sasa kuna baadhi ya wananchi wamepoteza Imani na Serikali na vyombo vyake kwa sababu ya tuhuma za ukawa kwamba serikali yetu iliiba kura wakati mpaka leo hii ukawa hawajaonyesha ushahidi wowote ule. Sasa hamna sheria ya kuwashitaki?

Sasa hapo ndipo ujue kama wanasema uwongo kwa nini hawajashtakiwa.
 
Hakuna sababu ya kumshtaki mwehu na mwenda wazimu nawe utaonekana mwehu. Hawamzuii Rais Magufuli kufanya kazi zake. Wataaishia vituko na kelele tu
 
Katiba hairuhusu tuhuma za wizi wa kura za urais kupelekwa mahakamani.Iwe kwa walioiba au kuibiwa kura.
 
hivi unajua ni kwa nini serikali ya CCM walikivamia kituo cha tallying cha Chadema ?
unajua kwamba matokeo ya vituoni na yale yaliyokua yakitangazwa na tume hayakua yakilingana ?
na mfano mzuri ni kura za Tunduma.
unajua kwa nini CCM walikataa kushirikisha wapinzani kwenye majumuisho ya daftari la mpiga kura ?
unajua kwa nini CCM wankataa uwepo wa TUME huru ya uchaguzi ?
unajua kwa nini wakati tunaelekea kwenye uchaguzi,Kikwete aliteua makamishna wapya wa tume ya uchaguzi ?
unajua kwa nini tume ilikataa matokeo ya urais yasitangazwe vituoni ?
bado wahitaji kufumbuliwa macho?
unajua kwa nini kamati za ulinzi na usalama aka kamati za wakuu wa mikoa na wilaya ndio zilizokua zikiratibu matokeo wakishirikiana na wakurugenzi ?
 
Walimfatilia Mkorea mliemleta kuhack matokeo toka anaingia nchini huku nyie malofa na mapumbavu hamjui. Wataalam wetu wakahack yeye akiwa hajitambui na kuonekana yoote anayoyafanya,baada ya ushahidi wa kutosha tukawavamia tumkamkamata yeye Mkorea na ma it uchwara wa Chadema. Kazi ikaisha jamaa akawa anaharisha hovyo akijua kwishney. Tumemaliza shughuli Rais ni JPM ndio habari ya mujini
 
UKAWA kazi yenu ni nzuri,lakini msimzonge Magufuli he is innocent,yeye ni mzalendo!
 
Back
Top Bottom