Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
Kila mara nimekuwa nikimsikia Lowassa, Mbowe, Mbatia &Co. wakisema kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi uliopita lakini bila kutoa ushahidi wowote ule, sasa nauliza ni kwa nini wasishitakiwe kwa uzushi ambao wanajaribu kuwaaminisha baadhi ya watu mambo ya Uongo?
Hivi sasa kuna baadhi ya wananchi wamepoteza Imani na Serikali na vyombo vyake kwa sababu ya tuhuma za ukawa kwamba serikali yetu iliiba kura wakati mpaka leo hii ukawa hawajaonyesha ushahidi wowote ule. Sasa hamna sheria ya kuwashitaki?