YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Kuna mambo ambayo tumekubaliana kuwa ni ya muungano.Kinachonishangaza ni kwanini wabunge wa Zanzibar huwa;
1.Wabunge wa CUF toka Zanzibar wanakaa na kupata posho wakati wizara zisizo za muungano zinapojadiliwa bungeni wakati wizara hizo si za muungano?
Nilidhani walitakiwa kuwepo kwenye mijadala ile tu ya wizara zinazohusu muungano zikimalizika wapande boti warudi kwao Zanzibar
2.Kwanini wajumbe wa CUF toka Zanzibar hukubali kuwekwa kwenye kamati zisizo za mambo ya muungano?
UKAWA mbona haya hamsemi?