chama,
..population ya Tz inakadiriwa kuwa zaidi ya mara 3 ya ile ya Zambia.
..lakini ukiangalia GDP hakuna tofauti kubwa kati ya Tanzania na Zambia.
..sijui hali hiyo unaielezea namna gani.
Kimsingi uchumi wetu upo juu zaidi labda ukiwatumia wachumi kama Lukosi hapo utadai uchumi za Zambia ni bora, najua unataka kugusia per capital income lakini elewa wachumi wengi hawapendelei kuitumia kwasababu mara nyingi per capital income haionyeshi kipimo sahihi cha uchumi, kigezo kingine kinachotumika kama kipimo cha uchumi ni exchange rate ya dollar; kwani tunaposema Kenya uchumi wao upo juu ni kwasababu wao shilling yao bado haijaporomoka lakini kwa ugumu na ukali wa maisha watanzania tuna nafuu ukilinganisha wa kenya, hivi sasa dollar 1 inanuliliwa kwa Z kwacha 5120 hiyo pekee inakuonyesha uchumi wao upo kwenye hali gani ukilinganisha na wetu
Chama
Gongo la mboto DSM