Lukosi acha kuwapiga watu magirini, kilichokuingiza Chadema ni ulaji tu kuna dili unazichungulia;hasa baada ya kunyimwa tenda ya ukaguzi wa magari yanayoingizwa Tanzania, hiyo Zambia imebadilika kitu gani baada ya Kaunda kuondoka madarakani? Nitajie maraisi walioingia madarakani baada ya Kaunda ukiachia marehemu Mwanawasa nani ambaye hakukutwa na kashfa kubwa ya ubadhirifu na wizi? Kina Chiluba walitumia mbinu kama hizi wanazotumia Chadema kuwahadaa wazambia matokeo ni haya Zambia ipo masikini na hakuna walichobadili zaidi ya kujitarisha wao na familia zao. Mzee Kaunda anaendelea kuheshimika sana na wazambia kwani wameujuea ukweli na wengi wao wanajutia maamuzi ya yaliyowaingiza kina Chiluba madarakani. waeleze wanachadema wenzako kilichokuingiza Chadema acha hizi blaah blaah na uwongo mwingi.
Chama
Gongo la mboto
[h=2]Compare two countries: and[/h] |
| [h=3]
| [h=3] |
Agricultural growth | 101 | 107 |
| Ranked 98th. | Ranked 82nd. 6% more than Tanzania |
| Compare Tanzania and Zambia for all Agriculture stats | |
| [h=3] | [h=3] |
Prisoners > Per capita | 116.0 per 100,000 people | 121.0 per 100,000 people |
| Ranked 75th. | Ranked 70th. 4% more than Tanzania |
Prisoners | 43,244 prisoners | 13,173 prisoners |
| Ranked 30th. 2 times more than Zambia | Ranked 57th. |
| Compare Tanzania and Zambia for all Crime stats | |
| [h=3] | [h=3] |
GDP | $29,640,000,000.00 | $11,640,000,000.00 |
| Ranked 101st in 2006. 155% more than Zambia | Ranked 135th in 2006. |
GDP (per capita) | $750.82 per capita | $981.28 per capita |
| Ranked 177th in 2006. | Ranked 170th in 2006. 31% more than Tanzania |
GDP > PPP | $24,181,000,000.00 | $9,706,000,000.00 |
| Ranked 95th. 149% more than Zambia | Ranked 125th. |
| | |
| | |
Human Development Index | 0.418 | 0.394 |
| Ranked 165th. 6% more than Zambia | Ranked 167th. |
| | |
| | |
Economic freedom | 1.65 | 1.5 |
| Ranked 110th. 10% more than Zambia | Ranked 127th. |
| Compare Tanzania and Zambia for all Economy stats | |
| [h=3] | [h=3] |
School life expectancy > Total | 5 years | 7 years |
| Ranked 102nd. | Ranked 97th. 40% more than Tanzania |
Average years of schooling of adults | 2.7 | 5.5 |
| Ranked 86th. | Ranked 58th. 104% more than Tanzania |
| Compare Tanzania and Zambia for all Education stats | |
| [h=3] | [h=3] |
Gasoline prices | 1.23 | 1.64 |
| Ranked 40th. | Ranked 11th. 33% more than Tanzania |
| Compare Tanzania and Zambia for all Energy stats | |
| [h=3] | [h=3] |
CO2 Emissions | 2,695.2 | 1,899.4 |
| Ranked 118th. 42% more than Zambia | Ranked 125th. |
| Compare Tanzania and Zambia for all Environment stats | |
| [h=3] | [h=3] |
Corruption | | |
| | |
| Compare Tanzania and Zambia for all Government stats | |
| [h=3] | [h=3] |
English speakers | 0 | 41,434 |
| Ranked 48th. | Ranked 17th. |
| Compare Tanzania and Zambia for all Language stats | |
| [h=3] | [h=3] |
Televisions | 103,000 | 277,000 |
| Ranked 132nd. | Ranked 116th. 169% more than Tanzania |
| Compare Tanzania and Zambia for all Media stats | |
| [h=3] | [h=3] |
Expenditures > Dollar figure (per capita) | $0.55 per capita | $9.30 per capita |
| Ranked 85th in 2004. | Ranked 54th in 2004. 16 times more than Tanzania |
Expenditures > Dollar figure | $20,600,000.00 | $106,800,000.00 |
| Ranked 72nd in 2004. | Ranked 47th in 2004. 4 times more than Tanzania |
| Compare Tanzania and Zambia for all Military stats | |
| [h=3] | [h=3] |
Population in 2015 | 45,598 | 13,841 |
| Ranked 28th. 2 times more than Zambia | Ranked 70th. |
| Compare Tanzania and Zambia for all People stats |
Umetoa mifano hai na inayosomeka
Compare two countries: and
Lukosi nilikuuliza baada ya Kaunda kuondoka madarakani ukiachia marehemu Mwanawasa ni nani ambaye hakukutwa na kashfa ya wizi na ubadhirifu? Kumbuka waliingia madarakani kwa mbinu hizi za movement kwa madai watabadilisha maisha ya mzambia; wazambia wengi hawana furaha ya maisha ni dhiki imewatawala hivi umewahi kufika Zambia au unaisoma kwenye magazeti?
Chama
Gongo la mboto DSM
Unatakiwa uelewe mada sio unakurupuka tu ku coment bila kuelewa point ya mtu,Tanzania= Zambia? Kwa hiyo mabadiliko ya ungozi yakifanyika Tanzania ni sawa na ya Zambia, kwa hiyo Chadema wakichukuwa ungozi wa Tanzania hali ya maisha ya watanzania itakuwa ni sawa hali ya wazambia baada ya Kaunda kutoka madarakani.
Hizi ni fikra za mtu aliyejawa na ulofa
Mimi ni Chama simjui wala simfahamu Nape na wala sina shida ya kumjua; ila wote tunasimamia na kutetea kitu kimoja ni wanaccm; tupo kujibu hoja,uwongo, unafiki, na majungu ya wanachadema ndani JF. Vipi Isevya hawajambo?
Chama
Gongo la mboto DSM
Kaka ukae ukijua kuwa unabishana na kijana wa Nape ambaye kazi yake ni kubishana mpaka mwisho.Chief, kama upo kujibu hoja, ebu niambie kwanini nchi yetu bado ni maskini sana pamoja na kuwa na kila rasilimali na maliasili zinazohitajika kuleta maendeleo?
Pili, kwanini madini - dhahabu na almasi - hayajaweza kutunufaisha ipaswavyo toka yaanze kuchimbwa na wageni?
Tatu, kwanini serikali ya CCM toka enzi za Mwinyi, haijaweza kuendeleza viwanda vilivyojengwa katika utawala wa Mwalimu? Au hata kujenga viwanda vipya?
Nne, unaongeleaje suala la vyombo vya dola kutumika kwa manufaa ya serikali iliyopo madarakani? Mfano, TISS na polisi? Ikulu kuwa kumbi ya vikao vya chama? Mawaziri kutumia rasilimali za dola kwenye mikutano na safari za chama?
Tuanze kwanza na haya...mengine baadaye.
Compare two countries: and
Kaka ukae ukijua kuwa unabishana na kijana wa Nape ambaye kazi yake ni kubishana mpaka mwisho.
Chama anajua kabisa kuwa CCM imeua uchumi wa nchi lakini bado anatetea.
Unategemea nini unapopeleka kesi ya nyani kwa ngedere?
Zomba type!!!!!!!!!!!!Kamanda Lukosi
Umeahangaika sana kugoogle ukweli uliupata hukataka kuoonyesha kwasababu tu ulikuwa unataka kupotosha ukweli kwa akili yako data 2004 zilikuwa zinasaidia nini katika mjadala huu nimekuwekea data hizo IMF/World zinapima maendeleo ya nchi na kukua kwa uchumi kwa kutumia GDP, International Reserve na Purchasing power parity; hivyo ndio vigezo vikubwa hawaangalia idadi ya wafungwa wala idadi kwenye nchi wala wangapi wanajua kiingereza; ni sawa tukitaka kujua utajiri hatuangalii Lukosi unaendesha Range au una pound laki benki la hasha tunaangalia networth yako na hiyo ndiyo itakayo kufanya benki wakupe pesa au wakatae soma data hizo ili ujifunze
Zambia Country Report: GDP data and GDP forecasts; economic, financial and trade information; the best banks in Zambia; country and population overview
DATA ON GDP AND ECONOMIC INFORMATION
Tanzania Country Report: GDP data and GDP forecasts; economic, financial and trade information; the best banks in Tanzania; country and population overview
DATA ON GDP AND ECONOMIC INFORMATION
Chama
Gongo la mboto DSM
Zomba type!!!!!!!!!!!!
Za kwenye Wikipedia?Nyie kiboko yenu data tu; mkishapewa ukweli mzimika na kukimbia
Chama
Gongo la mboto DSM
Mwananchi wa kawaida anahitaji aone mabadiliko siyo midata ambayo hata umuelezee vipi ataona Kama unapiga kelele midata yenyewe unaipaste hapa bila hata mwenyewe kuisomaNyie kiboko yenu data tu; mkishapewa ukweli mzimika na kukimbia
Chama
Gongo la mboto DSM
Za kwenye Wikipedia?
Mwananchi wa kawaida anahitaji aone mabadiliko siyo midata ambayo hata umuelezee vipi ataona Kama unapiga kelele midata yenyewe unaipaste hapa bila hata mwenyewe kuisoma
Kwa midata hiyo ambayo mwananchi haoni mabadiliko lakini unasema uchumi umekua sahau kura kutoka kwa watu Kama haoNimeisoma vizuri sana ndio sababu nimkuwekea
Chama
Gongo la mboto DSM
chama,Kamanda Lukosi
Umeahangaika sana kugoogle ukweli uliupata hukataka kuoonyesha kwasababu tu ulikuwa unataka kupotosha ukweli kwa akili yako data 2004 zilikuwa zinasaidia nini katika mjadala huu nimekuwekea data hizo IMF/World zinapima maendeleo ya nchi na kukua kwa uchumi kwa kutumia GDP, International Reserve na Purchasing power parity; hivyo ndio vigezo vikubwa hawaangalia idadi ya wafungwa wala idadi kwenye nchi wala wangapi wanajua kiingereza; ni sawa tukitaka kujua utajiri hatuangalii Lukosi unaendesha Range au una pound laki benki la hasha tunaangalia networth yako na hiyo ndiyo itakayo kufanya benki wakupe pesa au wakatae soma data hizo ili ujifunze
Zambia Country Report: GDP data and GDP forecasts; economic, financial and trade information; the best banks in Zambia; country and population overview
DATA ON GDP AND ECONOMIC INFORMATION
Tanzania Country Report: GDP data and GDP forecasts; economic, financial and trade information; the best banks in Tanzania; country and population overview
DATA ON GDP AND ECONOMIC INFORMATION
Chama
Gongo la mboto DSM