Naomba unutafutie kiwanja Texas mkuu. Na mimi ni miliki mjengo ughaibuni, kama bei ni poa kuliko bongo.
Madalali ni tatizo lingine linalotomaliza. Kila kitu kina dalali.nilifanya sana survey nikapata mafundi weenye bei halali, anaetaka fundi mason, fundi tiles, fundi rangi, fundi madirisha ( aluminium), fundi milango/furniture, kitchen,fundi umeme, plumper, gardener, fundi grill za madirisha,milango ....anione kwenye email pcocall@live.com . Utafurahi na hizi bei almost 30% - 40% down ya bei za wajanja. karibuni
Even Architecture and Engineer
Tanzania tunajenga majumba makubwa na yana vitu ambavyo wengine hardly kuvitumia.........balcony.........carpot......studyrooms
Tanzania tunajenga majumba makubwa na yana vitu ambavyo wengine hardly kuvitumia.........balcony.........carpot......studyrooms