Kwanini uhangaike na majini wakati kuna malaika

Kwanini uhangaike na majini wakati kuna malaika

Sasa mkuu tatizo ni kwamba kwenye Qur'an jini amezungumziwa kama kiumbe kilichoumbwa na Mungu(si malaika) yani kuna Binaadamu,malaika na hao majini.
Ila biblia haisemi kuwa Mungu aliumba majini,sasa sijajua ni vigezo gani vinatumika kutambua kuwa hao viumbe majini waliyozungumziwa kwenye Qur'an ndio hao malaika tena waliyoasi? Au neno jini lina maana gani hao malaika waliyoasi ndio waitwe majini?

Kwa sababu mara nyingi utakuta watu wanasema Yesu sio Isa na Isa sio Yesu,kwamba hao wawili tofauti na wanaeleza hutofauti wao,ila mwenye upande wa majini pamoja na kuwa Qur'an inaeleza asili yao ni tofauti na malaika ila wakristo wanawahusisha na malaika(waovu).
Mungu hawezi kamwe kuumba kiumbe kiovu. Majini walikuwa viumbe wema kama malaika wengine wema ila kwa kungozwa na belzebul waliasi na kuondolewa utukufu na hivyo sasa sio viumbe wema.

Ukweli ni kwamba kuna dini nyingi lakini nyingi hazina ukweli. Isa bin Mariam inatumika kumaanisha Yesu mwana wa Maria yule aliyezungumzwa katika Biblia, lakini kuna upotoshaji juu yake.

Imani mbaya iliyopotoshwa juu ya Issa bin Mariam huwafanya waamini kutopata ukweli wa Yesu na hili limefanywa kwa makusudi makubwa na ulimwengu wa giza .

Allah na Mungu Mkuu ni tofauti kabisa , mmoja ni Muumba na mwingine ni kiumbe aliyeasi akitaka kuabudiwa kama Mungu Mkuu.
 
Wasalaam....
Hope wote mko njema.

To the topic

Nimekua nikipita humu kuona thread kadha wa kadha kuhusiana na matumizi ya viumbe hao wasio onekana i.e. Majini katika kutusaidia katika mambo yetu mbali mbali katika swala zima la utafutaji and im like shocked (outta words) kwan ki ukweli katika kufanya tafiti ndogo binafsi nimegundua watu wanao shukiwa kutumia hao viumbe ki uhalisia ukifatilia maisha, nyumba au familia zao zina kasoro flan (a negative drawback)

Ndio kuna wenye mafanikio ya kifedha ila there happens to be a spiritual or physical pain attached to that success in one way or another. They just happen to believe in doing certain negative painful things just to please the devil hence rewarded more success. Unakuta mtu anapesa sanaa ila hafanyi kitu hiki na kitu kile fearing their demise/collapse.

Mimi ni Mkristo na nina amini kabisa uwepo wa Mungu meaning ninaelewa Shetani yupo na ulimwengu wake wa giza na matokeo/ubaya wa kua mfuasi wa ibilisi. Katika vitabu vya dini Mungu ametueleza vyote vilivyoko duniani na mbinguni viko chini yetu na tuna mamlaka navyo including the Angels/Malaika (correct me if I am wrong).

Sasa najiuliza kwann mwanadamu anahangaika na viumbe hao wa giza wakati tumepewa mamlaka ya kuwatumia malaika kwa manufaa yetu only if tukimfwata na kumcha Mungu ??

Je kuna watu hapa duniani wamefanikiwa kuwa na maarifa haya ya kuwatumia malaika wa Mungu kwa mafanikio yao binafsi ??

Kwanini tuhangaike na majini/mapepo na sio kuwatumia malaika wa Mungu kama wasaidizi wetu na sio kwamba tunawaabudu ila ni wasaidizi ??

Why use negative creatures while kuna walio safi tuliopewa mamlaka juu yao ??

Shetani alilaaniwa na Mungu na kwamba milele atakua chini ya mwanadamu, kwann yeye ndio atutawale sisi na kutuahidi material things wakat Mungu alishatupa mamlaka navyo ??

#Karibuni.

Swali lako ni: Kwa nini uhangaike na Majini wakati kuna Malaika?

Jibu: Kwa nini uhangaike na Malaika wakati kuna Mwenyezi Mungu mtukufu, mola na mlezi wa Viumbe wote, muweza wa yote, Mfalme wa Mbingu na Ardhi
 
Mungu hawezi kamwe kuumba kiumbe kiovu. Majini walikuwa viumbe wema kama malaika wengine wema ila kwa kungozwa na belzebul waliasi na kuondolewa utukufu na hivyo sasa sio viumbe wema.

Ukweli ni kwamba kuna dini nyingi lakini nyingi hazina ukweli. Isa bin Mariam inatumika kumaanisha Yesu mwana wa Maria yule aliyezungumzwa katika Biblia, lakini kuna upotoshaji juu yake.

Imani mbaya iliyopotoshwa juu ya Issa bin Mariam huwafanya waamini kutopata ukweli wa Yesu na hili limefanywa kwa makusudi makubwa na ulimwengu wa giza .

Allah na Mungu Mkuu ni tofauti kabisa , mmoja ni Muumba na mwingine ni kiumbe aliyeasi akitaka kuabudiwa kama Mungu Mkuu.
Mkuu mbona haujajibu maswali ya msingi kabisa?

Nimetaka kujua ni vigezo gani vinatumika kutambua kuwa viumbe majini waliyotajwa kwenye Qur'an ndio hao malaika waliyoasi? Neno majini lina maana gani hadi hao malaika waliyoasi wakaitwa majini? Kwa sababu Qur'an haijasema kuwa asili ya majini ni malaika,sasa hili la majini ndio malaika waovu limepatikanaje?
 
Back
Top Bottom