Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Tokea zoezi la ukaguzi vyeti lianze sijawahi sikia waziri au mkurugenzi au rais amekaguliwa cheti je wao sio wafanya kazi wa uma? Kwa nini hii ni watu wa chini tu??
Juzi juzi tumeona ya akina bashite na rais yuko kimya kama hajui kinachoendelea! Je ukaguzi wa vyeti na kuchukuliwa hatua waliofoji vyeti ni kwa wafanyakazi wa chini tu na haiwahusi viongozi???
Ningeshauri hilo zoezi la ukaguzi lianzie juu na nyie muonyeshe mfano then lije kwa watu wa chini!! Alafu kwanini wengine wana chukuliwa hatu hapo hapo ila akiwa fulani mnakaa kimya??
NB: rais ulisha sema atakayefoji cheti atafukuzwa na kutiwa ndani je hii haiwahusu viongozi???