Kwanini tuwaogope wanaotaka muungano uvunjike?

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
Tuwaogope sana Jusa na Maalim Seif ni watu wanaotaka znz yenye mamlaka kamili ili znz iwe moja ya terrorist base, kitu kitakachosababisha matatizo makubwa kwetu sisi majirani zao.

Ogopa sana nchi inayopiganiwa na viongozi wa dini moja tu ni hatari sana.

Hatujawahi kumsikia mchumi yeyote ambaye amechambua kuwa kuna maslahi ya znz nje ya muungano kiasi kwamba watu kuelewa kwa nini wajitenge wakati soko lao kuu ni Tanganyika, wana export na kuimport wenyewe,karafuu wanauza wenyewe, viongozi wa serikali yao wana mahusiano binafsi na nchi nyingi tu za arabuni na ulaya na mahusiano hayo yapo SASA NINI HAWA WATU WAMEKOSA MPAKA VIONGOZI WA DINI KUINGILIA?

Ni kitu gani tunawanyonya waznz , kipi cha kuwanyonya?.

Generally: KAMBI NYINGINE YA UGAIDI ITANUKIA ZNZ KAMA TUTAWARUHUSU AKINA ALISHABIB NA ALCAIDA WATAKUJA KUHIFADHI SILAA ZAO HAPO NA KUTULETEA MATATIZO KAMA ILIVYO PAKISTAN,SOMALIA,LIBYA.....
 
Kwa nini hawa akina uamsho hawakuthibutu kuanza vurugu zao awamu ya tatu alikini awamu hii ya nne wamekuwa na jeuri sana.
 
Back
Top Bottom