fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 884
Cdm hawa waendesha madisco na kuiba wake za watu???au chadema ipi!
wewe ni wali waliwa, watu wako sirious ww unaleta upunga hapa!
Cdm hawa waendesha madisco na kuiba wake za watu???au chadema ipi!
Chadema hawawezi kubali cz wana agenda ya kuendeleza mfumo kristo ulioasisiwa na baba yao wa taifa!!
brother jibu ni moja tu,cheyo ,mrema ,mbatia hao ni mamluki wa ccm,cuf ni ccm b,ccm wanaakili sana wamepandikiza mamluki kibao kwenye vyama vya upinzani vya ovyo,kwa hiyo tanzania mpinzani ni mmoja tu ....CHADEMA

Ndugu wanaJF! Napata wakati mgumu sana kuelewa, kama walio wengi lengo letu ni kubadilisha mfumo uliopo sasa ambao kwa wengi wetu tunaamini umefail to deliver the promise for the past 50 years. Kwa nini CDM, CUF na vyama vingine visiunganishe nguvu na kuondoa mfumo uliopo sasa.
Navyoona CCM wana take advantages ya utitiri wa vyama vingi visivyokuwa na mashiko and then its easier to defeat them when comes to election. Rai yangu lets have dialogue on this kama kweli lengo letu sote ni kuleta madiliko ya kweli kwa mtanzania ili aweze kuishi kwa TANZANIA YA NDOTO YAKE!
Sikubaliani na mleta hoja kwamba vyama viungane kwa sababu lengo ni kuiondoa CCM. Kuwa upinzani siyo sababu ya kuamini kwamba wapinzani wako wote mna malengo sawa! Rudi shule ujisomee zaidi mambo sirahisi hivyo,achana na propaganda za kizamani za CCM.
Chadema hawawezi kubali cz wana agenda ya kuendeleza mfumo kristo ulioasisiwa na baba yao wa taifa!!
Hata mimi leo nikawa najisemea hizi mada za udini zinaletwa humu kutuparaganyisha tu. In actual fact hatuna uhasama wa udini
ccm CHA WAPAGANI!uko right sanacuf-majority ni waislamcdm-majority ni wagalatiamchezo ndio uko hapo.otherwise ingewezekana na wangefanikiwa.