Kwanini tunauza mechi?

Hahahaaaa. Sawa mkuu. Hivyo bao nyingi za kufanya watu kuuza mechi hazina faida ikiwa mwanamke anajishughulisha si ndio mkuu?
Kuuza mechi ni inshu nyingine..kufika napo inshu nyingine..ila vinaenda pamoja...mana vyote vipo katikati ya game..
 
Kijana ufundi peleka kwa Mkeo huyo ndo unawajibika kumridhisha tu.., huko kwingine punguza genye kimbia!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom