Kwanini tunashikilia mambo ya mkoloni hadi leo hii?

Danpol

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
5,682
8,809
Wakuu

Nimewasikiliza viongozi wa Chadema waliokua gerezani , Peter Msigwa (Mbunge), John Heche (Mbunge pia) , nimesikia madai yao kuhusu kudhalilishwa kwa kuvuliwa nguo zote na kubaki utupu (uchi) , kisha kupewa ndoo za chuma wajisaidie haja kubwa kwa lazima , haijalishi una mzigo au huna ila ni lazima ushushe ndio utoke hapo.

Wakuu, huu ni mwaka 2020, ni karne ya 21, ni nyakati ambazo tunaambiwa binadamu amekua na akili, ufahamu na uelewa wa mambo kuliko nyakati zote tokea kuwekwa kwa misingi ya dunia , ila ni kwamasikitiko makubwa sana nchi za dunia ya tatu zimebaki nyuma sana, kuna baadhi ya mambo walituachia wakoloni , viongozi wakayabeba hivyo hivyo na bahati mbaya sana yamekua yakirithishwa vizazi na vizazi bila kizazi chochote hapo katikati kushtuka hata kidogo kwamba kuna jambo haliko sawa , kuna sehemu inahitaji marekebisho , vizazi vyote vilivyorithishwa/vinavyorithishwa vinadhani/amini mambo ndivyo yanapaswa kua , Jambo ambalo si sahihi , Kama binadamu kuna mambo tunajitaji kuyarekebisha na kuyaboresha yaendane na nyakati tulizopo

Wakati fulani mwaka jana niliharibu mtaani huko , nashukuru Mungu sikwenda segerea ila mahakamani nilifika, siku ya kwanza naenda mahakamani nilitokea kituo cha polisi, nikawekwa rumande ya mahakamani nikisubiri muda wa kwenda kizimbani , kule mahabusu walikuwepo watu wengi tu waliotoka gerezani kuja sikiliza zao, kwahiyo wakawa wanatupa mawili matatu sisi wapya , moja ya mambo waliyokua wakituambua ni pamoja na hili la kuvuliwa nguo zote na kujisaidia kwenye ndoo, hili jambo linafanyika kwa wafungwa wote (kuna baadhi ya watu wanadhani labda ni kina Heche tu wamefanyiwa) ni wafungwa/mahabusu wote , ni jambo la kufedhehesha na kudhalilishana , halipaswi kuendelea kuwa kama lilivyo , mamlaka husika zikae upya zitupe jicho hilo eneo , dhana iliyo nyuma ya hili jambo la kudhalilishana ni sababu za kiusalama , kama Heche alivyo uliza nami nauliza hivyo hivyo, Mbona watu wakienda Ikulu hawavuliwi nguo na kujisaidia kwenye ndoo? kwanini badala ya kudhalilishana tusitumie teknologia eneo hili ikatusaidia ?? kama ilivyo uwanja wa ndege na maeneo mengine

Jambo ambalo hawakulisema vizuri vipigo, watu wanapigwa nusu ya kufa, kupigwa mzunguko wa virungu 20 mpaka 40 kwenye kila joint (hasa viwiko na magoti) ni jambo la kawaida sana kule, mfano hata hapo kwenye kujisaidia , usiposhusha mzigo, utapigwaa sana mpaka mzigo ushuke tu, kwa kifupi , magereza zinaondoa thamani kabisa ya utu, mtu akiwa kule anajiona/jihisi kabisa yeye sii mtu , hana thamani yeyote , hastahili kuwepo, yanahitajika maboresho ya sheria na kanuni , magereza sio vituo vya mateso , ni sehemu ya watu kujirekebisha , tunategemea mtu akitoka pale awe raia mwema , huwezi upata huo wema kwa kuwatesa

Hao walioko ndani si kwamba wana dhambi sana au magereza ipo kwaajili yao , sisi tulio nje sio kwamba ni wasafi sana au magereza haipo kwaajili yetu, muda wowote bila hata kutegemea unaweza jikuta umefanya tukio na limekuvaa , hivyo basi, tuviombe vyombo husika viangalie hili eneo, uwekwe utaratibu mzuri , usiovunja wala kudhalilisha utu wa mtu, hii ni 2020, ni ajabu sana taifa kuendelea shikilia mambo ya mkoloni , tutumie teknolojia zilizopo tunufaike nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili jambo upo sahihi. Ukweli hii dhana ya magereza kwa nchi zetu ni mbaya sana. Kifungo ni kupoteza uhuru wako tu na si km yale ambayo hutamkwa walime na wajilishe. Nani kasema kuna rehabilitation ya unyanyasaji. Hatuwezi kuendelea km haki za wale ambao ni most vulnerable zinapuuzwa. Bahati mbaya hatupati takwimu za wangapi wanajiua au kuuana huko pamoja na kujeruhiwa
 
death rate iliyoko huko ,sii ya kawaida, wanapukutika mno

mfano kipindi kile rais kaenda kwenye gereza kule kanda ya ziwa, walimwambia kabisa kuhusu hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu

Nimewasikiliza viongozi wa Chadema waliokua gerezani , Peter Msigwa (Mbunge), John Heche (Mbunge pia) , nimesikia madai yao kuhusu kudhalilishwa kwa kuvuliwa nguo zote na kubaki utupu (uchi) , kisha kupewa ndoo za chuma wajisaidie haja kubwa kwa lazima , haijalishi una mzigo au huna ila ni lazima ushushe ndio utoke hapo.

Wakuu, huu ni mwaka 2020, ni karne ya 21, ni nyakati ambazo tunaambiwa binadamu amekua na akili, ufahamu na uelewa wa mambo kuliko nyakati zote tokea kuwekwa kwa misingi ya dunia , ila ni kwamasikitiko makubwa sana nchi za dunia ya tatu zimebaki nyuma sana, kuna baadhi ya mambo walituachia wakoloni , viongozi wakayabeba hivyo hivyo na bahati mbaya sana yamekua yakirithishwa vizazi na vizazi bila kizazi chochote hapo katikati kushtuka hata kidogo kwamba kuna jambo haliko sawa , kuna sehemu inahitaji marekebisho , vizazi vyote vilivyorithishwa/vinavyorithishwa vinadhani/amini mambo ndivyo yanapaswa kua , Jambo ambalo si sahihi , Kama binadamu kuna mambo tunajitaji kuyarekebisha na kuyaboresha yaendane na nyakati tulizopo

Wakati fulani mwaka jana niliharibu mtaani huko , nashukuru Mungu sikwenda segerea ila mahakamani nilifika, siku ya kwanza naenda mahakamani nilitokea kituo cha polisi, nikawekwa rumande ya mahakamani nikisubiri muda wa kwenda kizimbani , kule mahabusu walikuwepo watu wengi tu waliotoka gerezani kuja sikiliza zao, kwahiyo wakawa wanatupa mawili matatu sisi wapya , moja ya mambo waliyokua wakituambua ni pamoja na hili la kuvuliwa nguo zote na kujisaidia kwenye ndoo, hili jambo linafanyika kwa wafungwa wote (kuna baadhi ya watu wanadhani labda ni kina Heche tu wamefanyiwa) ni wafungwa/mahabusu wote , ni jambo la kufedhehesha na kudhalilishana , halipaswi kuendelea kuwa kama lilivyo , mamlaka husika zikae upya zitupe jicho hilo eneo , dhana iliyo nyuma ya hili jambo la kudhalilishana ni sababu za kiusalama , kama Heche alivyo uliza nami nauliza hivyo hivyo, Mbona watu wakienda Ikulu hawavuliwi nguo na kujisaidia kwenye ndoo? kwanini badala ya kudhalilishana tusitumie teknologia eneo hili ikatusaidia ?? kama ilivyo uwanja wa ndege na maeneo mengine

Jambo ambalo hawakulisema vizuri vipigo, watu wanapigwa nusu ya kufa, kupigwa mzunguko wa virungu 20 mpaka 40 kwenye kila joint (hasa viwiko na magoti) ni jambo la kawaida sana kule, mfano hata hapo kwenye kujisaidia , usiposhusha mzigo, utapigwaa sana mpaka mzigo ushuke tu, kwa kifupi , magereza zinaondoa thamani kabisa ya utu, mtu akiwa kule anajiona/jihisi kabisa yeye sii mtu , hana thamani yeyote , hastahili kuwepo, yanahitajika maboresho ya sheria na kanuni , magereza sio vituo vya mateso , ni sehemu ya watu kujirekebisha , tunategemea mtu akitoka pale awe raia mwema , huwezi upata huo wema kwa kuwatesa

Hao walioko ndani si kwamba wana dhambi sana au magereza ipo kwaajili yao , sisi tulio nje sio kwamba ni wasafi sana au magereza haipo kwaajili yetu, muda wowote bila hata kutegemea unaweza jikuta umefanya tukio na limekuvaa , hivyo basi, tuviombe vyombo husika viangalie hili eneo, uwekwe utaratibu mzuri , usiovunja wala kudhalilisha utu wa mtu, hii ni 2020, ni ajabu sana taifa kuendelea shikilia mambo ya mkoloni , tutumie teknolojia zilizopo tunufaike nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
...Yote haya yanakupata na Kesi ikiendeshwa unakutwa huna Kosa lolote na hakuna anayewajibishwa kwa uliyoyapata....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom