Kwanini tunaogopa mabadiliko (change)?

Ekasi

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
482
302
Habari zetu watanzania,

Hakuna kitu kibaya na kigumu duniani kama change, mabadiliki yanakutoa ktk hali uliyoizoea kwenda kwenye hali usiyoizoea. Ndio maana raisi kennedy wa marekani alisema "asilimia 60 tu ya wamerakani ""like changes"" kwani mabadiliko ni magumu na yanachukuwa mda kuyakubali.

Mazoea ya madawa, wizi, rushwa, madili, uvivu, kutotaka shule, kupenda starehe bila ya kufanya kazi, kupenda uboss wakati wake umepita sasa twende shule , tufanya kazi, no rushwa, no wizi, hakuna mapedeshee, na misisadi watu wote hawajui wafanye nini kilichobaki matusi, majungu, kashifa na upungufu wa maamuzi.

Ni wakati wakuwa pamoja na kusupport serikali ktk wakati huu wa mpito na kufika tunakotaka. Dili hakuna, posho down wabunge wote wamechanganyikiwa, wanainchi wote hoi, we don't know how to solve our problems that why african continent is rotten to core and poor.
 
Kusuport serikali ni kazi ya ccm wananchi tunahitaj matokeo tu na kupiga hatua, Af kuhusu rushwa na mambo mengine uloyandika hakuna mtu anaeyatetea ispokuwa tunapishana mitazamo we unahisi sisi tunaionea serikal wakat sisi tunajaribu kufikisha hisia zetu kwa serikal. Nawe wapaswa kubadilika mana waonekana ni muoga wa mabadiliko.
 
Back
Top Bottom