mi sioni kama mahari ni tatizo! tatizo ni ugumu wa maisha ndio umesababisha mahari kutopatikana kirahisi! kwa mazingira kama ya vijijini kule, huwezi kuoa binti wa watu bila kutoa ng'ombe, japo siku hizi cost zimepungua sana! unaoa kwa ng'ombe sita tu! wakati zamani bila kuwa na ng'ombe 60, mbuzi 30 na kondoo sawa na mbuzi hujaoa!
mi ntajitahidi hata kwa ng'ombe tatu nioe!
over!!!!!