Kwanini tunalipa mahari? Should be stopped!


me nadhani labda wakipewa wanaingiza pembeni na kuendelea kusugua huko pembeni mpaka afundishwe na mkubwa wake....!!!!!
 
ila inauma sana unapangiwa mahali kuubwa na kitu MTUMBA tena wengine ashazalishwa kabla!!! mahali ilikua enzi za kale kweli nakubaliana na nyie wadada humu mnaosema hata kabla ya yesu mahali ilikuwepo lakini enzi izo mdada unakuta ana mzigo wake ( BIKRA ) sio nyie wa sasa mpaka nakuoa ushawai jaza hiace ukiwapanga!!!
 
Mwanamke bikra atapatikana tu pale mwanaume atakapoacha michezo michafu kabla ya ndoa. Tena kuna huu msemo wanasema hawawezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia sasa bado tu jamani umkute dada wa watu bikra. kwamtoro unapozungumzia mahari unaizungumzi ktk angle gani, je kiimani za dini au kimila , ukisha jibu hapo ndio twaweza endelea.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nitatoa mahari mtoto wangu atatoa mahari na ukoo wangu wote utatoa mahari...
 
Reactions: bdo
Umeonge point. Au tuanze kuhesabia hv vbomu wanavyotupga tujumlishe kwenye mahari! Ukisema unanunua unalaaniwa!
 
kwa umasikini wa familia za kiafrica hii kitu haiwezekani kukoma alafu inauma sana umemtolea mahari kuuubwa alafu kitu yenyewe MTUMBA alafu kanakujan ndani kanaanza kanyanyua sharubu kama yeye ndo alitoa mahali

Alafu kama umeshtuka wanawake wengi wanafurahia harusi kuliko ndoa, hii manaake nin sasa aggggrr..
 
wanawake wale 9 uliowatoa bikra na kuwaacha unataka nani awaoe sasa?
na yule uliemzalisha na kumkimbia?

what goes around comes around guys.
 
Bikra awe mwanamke tu why? Hata mwanaume pia anatakiwa akutwe bikra bana.

Halafu swala la mahari linaumuhimu wake na inamletea mwanamke heshima kwenye familia yao na kwenye ndoa yake pia kuliko ukimchukua bure yaani anaonekana si wathamani

vipi Eva alilipiwa sh. ngapi?
 
Anaepaswa kulipa mahali ni yule anaejua maana ya mahali. Vijana wa siku hizi mnadhani mahali ni kununua mtu. Binadamu hawezi kuuzwa hata kwa mapesa yote duniani.

na wanaume inabidi tuanze kulipiwa mahari. kama ni gharama hata sisi wetu wazazi waliingia gharama kututunza
 
mahari ni kama kumfanya mwanamke kuwa bidhaa.

Uanmnunua kama unavyoweza kununua ng'ombe.

Kwa hiyo awe na bikira asiwe na bikira, inamfanya kuwa commodity tu.
 
Kulipa mahari?

Mahari ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…