Kwanini tunaibeba DP World kiasi hiki?

Kumbe
 
Imeandikwa wapi hiyo trillion 27, na hata ikiwepo kwenye HGA na isifikiwe mtavunja vipi ushirikiano wakati makubaliano ni ya milele hata malengo yasipofikiwa?
Don't be stupid ni rushwa tu ndio inaweza mtia mtu upofu wa namna hii tunayoiona
 
Hiv huu ujinga utawaisha lin kichwan. Umeambiwa mkataba mbovu wewe unazungumzia mapato.
 
Imeandikwa wapi hiyo trillion 27, na hata ikiwepo kwenye HGA na isifikiwe mtavunja vipi ushirikiano wakati makubaliano ni ya milele hata malengo yasipofikiwa?
Don't be stupid ni rushwa tu ndio inaweza mtia mtu upofu wa namna hii tunayoiona
My friend you too dont be stupid ulitaka kwenye IGA iandike trillion 27 kwani huo ni mkopo wa bank au mauzo kuwa wamenunua kuwa na intellectual reasoning na sio emotional political reasoning, wewe ni wale watz wa kulia kulia mkiletewa tozo mnalia lia ikija big foreign direct investment ili jamhuri ijikwamue mnaleta vipingamizi zisipolipa kampuni kubwa hizo kodi mtalipa nyie mnakuwa aina ya watu wakujikwamisha wenyewe yaani self inflicted sanctions hauendi mbele wala nyuma.
 
Hiv huu ujinga utawaisha lin kichwan. Umeambiwa mkataba mbovu wewe unazungumzia mapato.
Kwani sababu kuu ya kufanya hayo yote ni nini zaidi ya kutafuta mapato hicho ndio lengo kuu hata muwe na agreement nzuri kama nini kama haina lengo la kuongeza mapato hapo ni sawa na kupigia mbuzi gitaa.
 
Wewe ndio mpumbavu
Siko kinyume na uwekezaji kwanza uelewe hilo, Niko kinyume na uwekezaji wa kimbumbumbu,
Serikali hii ndio kinara wa kuhujumu watu wake, kwa kuweka sheria ngumu na mifumo mibovu ya kuwaendeleza wananchi wake hata washindwe kuwa faida kwa maana ya kuweza kulipa kodi.
Pili, hunifahamu hivyo usinisemehe,
Tatu, mkataba usiovunjika niwa kazi gani je matarajio yasipofikiwa litakuwaje I?
 
Hahaha we uniquote halafu unaomba nisikusemeshe usipaniki wewe acha kuquote tu sitakujibu
Ndio maana wenye mamlaka wameamua kutumia vizuri kabisa nafasi hii ya kuingia makubaliano ya uendeshaji wa bandari na magwiji wa tasnia show me your friend i can predict your future ,wewe kwa lugha zako na maoni yako ndio wale wale wapingaji saa nyingine unapinga kwa hofu tuu what if ,what if acha wenye clear mind wasio na hofu na wenye kujiamini wafanye mambo na tuondoe uwoga uwoga wa kuona tunaibiwa that how business is done. Wasipopatikana walipa kodi wakubwa basi tujue tutalipa sisi wadogo huhitaji kuwa nani au kuwa madigrii 7 kujua hilo.
 
Daah bora ule Mkataba wa Mzee Mangungo na Wakoloni kuliko huu...
Chifu Mangungo tumemlaumu sana tena kwa miaka mingi vizazi mpaka vizazi lakini sasa huko aliko nae anakenua meno kuona kuna aliyemzidi kwa .............. tena akiwa amezungukwa na vyanzo vya taarifa vingi, teknolojia, ulinzi na wasomi wa hali ya juu lakini bado anaingizwa chaka🀣🀣
 
Umeandika Kwa akili na uchungu mkubwa sana na kizalendo sana, ubarikiwe sana, hayo mambwa yaliyoingia huo mkataba na DP world yalaaniwe na yafe yanuke na yaoze
 
Kwani sababu kuu ya kufanya hayo yote ni nini zaidi ya kutafuta mapato hicho ndio lengo kuu hata muwe na agreement nzuri kama nini kama haina lengo la kuongeza mapato hapo ni sawa na kupigia mbuzi gitaayaan

Kwani sababu kuu ya kufanya hayo yote ni nini zaidi ya kutafuta mapato hicho ndio lengo kuu hata muwe na agreement nzuri kama nini kama haina lengo la kuongeza mapato hapo ni sawa na kupigia mbuzi gitaa.
Yaan uwe na agreement nzur halafu haina mapato? Hiv unaelewa unachoongea Chief. Inakuwaje nzur halafu haina mapato huo uzur unakujaje sehem unapoteza. Sisi tunasema mkataba uwe na terms nzur tunamaanisha kwanza ujulikane unaisha lin na wanaweka au wanawekeza kias gan na hiyo trillion 27 ni mwaka huu tu au itakuwa inaongezeka kila mwaka. Usalama unakuwaje na ni bandari ngap wataajir watu wangapi na nk in a few. Sasa inaonekana wewe ukishapewa hela tu inatosha hata kama huna uhuru. Lazima nchi kama nchi lwe na maamuz ya mwisho kwenye himaya yake kusema tu tutapata hela then what. Sio kila kitu ni hela mzee kuna mindsets zinaafectika za vizaz vingi kwa maamuz yako ya leo kwasababu tu ya hela.
 
Sasa wewe unavyoona nchi nyingi za kiafrica kwa sasa tunahangaika na uhuru kweli hilo lilishapita uhuru tunao na wananchi wanalifeel na hili hatuwezi kunyanganywa na yeyote yule maana tushaonja utamu wa kuwa huru ,ila sasa ukiangalia nchi nyingi za kiafrica kwa sasa tunastrugle kupata ecomonic freedom tunabajeti deficit mpaka tukapate misaada au mikopo mpaka tupewe zile misaada na watu wanajitangaza redioni ya kutoka watu wa .... ni wakati wa kupata shughuli za muingiliano kama hizi tukuze pato hii ndio struggle yetu ya wakati huu kwa sasa africa na huu ndio uhuru wa pili tunaoutafuta kwa sasa na kupitia shughuli kama hizo zenye kutuletea pato kubwa ndio zinakuwa na umuhimu wa kipekeee .
 
bro kwenye mikatab kun tofaut kubwa ka neno shall na will.usijiaminish san kwa hawa jamaa kwa vil tu wako top.kam mkatab undoubt hatuna haj y kujiforc .ishu ya kulipa kodi so main purpose ata akija mwingin kodi italipwa tu at ikiwa chin ake ila mkataba ikiw saf ni bora zaid.acha tamaa tamaa za fisi utajikuta mtegoni n hun pa kuchomkea unabak kuskilzia wakufany wanchotak make ishjifunga
 
Kaka Mshana:
Rushwa ni kipofu kwani inapofusha!!
Rushwa ni ugonjwa mbaya kuliko hata saratani!
Rushwa iliangamiza mataifa na wenye hekima!
Rushwa ni dhuluma na uonevu mkubwa!
Rushwa ni dhambi kubwa mno mbele ya Mola.

Vitabu vitakatifu vinanena kuwa siku ya kiyama makazi yao yatakuwa lile ziwa liwakalo moto!
 
Vitabu vitakatifu vinanena kuwa siku ya kiyama makazi yao yatakuwa lile ziwa liwakalo moto[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…