Kwanini tumekubali ziwa la Kanda ya Ziwa kupewa jina na Malkia Victoria wa Uingereza?

Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika.

Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
Mkwa sababu na wewe umeacha jina lako na kukiita excuye...
 
sikatai wazungu wametutawala na kwamiaka mingi wametunyonya ila sisi tumelazimishwa kimfumo kufuata zaidi utandawazi wao hivyo dunia ina uelekeo wa kizungu kuanzia miundo mbinu huduma za kijamii makazi na vyanzo vya kujiingizia kipato vyote walianzisha wao hivyo itatuchukua muda mrefu na resource nyingi ili tuseme tunajitegemea hata kama tulikua na mambo yetu ya kiafrika ila yamezikwa ili waweze kututawala na kuweka order zao duniani
 
Tusiporudisha mambo yetu mazuri tutaendelea kuwa wafuasi wao tu.
 
Majina yenu ya asili tu hamuyataki mnajiita ya kizungu sijui john, Peter carleen, Elizabeth, Nancy tena mzazi utasikia ana taka jina zuri la mtoto kwake jina kabula, havijawa, andunje, karumekenge, Jango ambayo ndio majina halisi ya kiafrika ni mabaya. Tena wanasema yana mikosi kwa hiyo hata hilo ziwa msilipe jina la asili lenye mikosi kama nyie mnavyokataa kuwapa watoto wenu majina ya asili mmeng'ang'ania majina ya kizungu
 
Jina la kujipa mwenyewe sio sawa na lile ambalo rasilimali yako ya kudumu inapewa na mtu aliyeua mababu zako.
 
Jiongeze kifikra. Unaita rasilimali zako jina la mtesi wako?
kumbuka hilo ziwa liko nchi tatu je wana fikra za kibinafsi kama zako? na likiitw jina la asili nn kitabadilika utanufaika na mn direct au ni kubwabwaja kusiko na mshiko
 
Hilo ziwa limamilikiwa na nchi 3 sidhani kama Kenya na Uganda watakubali hilo jina unalosema la asili. Yatakuwa yale yale ya ziwa nyasa dunia nzima inaliita Lake Malawi hadi ramani za Google zinaonesha hivyo ila sisi tunaita ziwa nyasa
Miaka ya '70 ilijaribiwa kuitwa Ziwa Nyanza.
Hata atlasi na ramani za ukutani ziliandikwa hivyo.
Hatukufaulu.
 
kumbuka hilo ziwa liko nchi tatu je wana fikra za kibinafsi kama zako? na likiitw jina la asili nn kitabadilika utanufaika na mn direct au ni kubwabwaja kusiko na mshiko
Wanasema moja kati ya legacy ya yule malkia ni hilo ziwa. Yaani mababu zetu walikuwa hapo wakifanya shughuli zao miaka na miaka halafu eti limekuwa legacy ya mwanamke mmoja aliyewaua mababu zetu.

Hauoni utanufaikaje? Kweli ukoloni umeua fikra zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom