CHADEMA kazaneni na Kanda ya Ziwa ndio kuna wapiga kura wanaotumika vibaya

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Napo sema kanda yaziwa mikoa yote inayozunguka ziwa na majirani na ziwa victoria kuanzia Singida, Tabora, Shinganya, Mwanza, Kagera, Kigoma, Geita, Musoma, Mara na n.k.

Tokea kutia kambi kwa CHADEMA kanda ya ziwa bado kunaipa tabu CCM kila kukicha kurudi tena kurudisha mashambulio.

Juzi tumeshangaa viwanja vya furahisha mpaka Jerry Silaa mbunge wa ukonga kafuata nini wakati sio jimboni mwake.

Wanaccm wanahaa sana kanda ya ziwa na ruti za Serikali ya CCM zimekuwa kubwa wakijaribu kuzima moto wa kanda ya ziwa.

CHADEMA chama la wazalendo
 
Back
Top Bottom