Labda anakuchukulia kama mpambe nuksiWakuu salamu,
Kumekuwa na wimbi la lawama linaloelekezwa kwa marafiki likisindikizwa na "quotes" ama nukuu zinazokuwa namna hii ili tu kutupa guilt kwa kutonunua bidhaa zenu rafiki zetu.
"Your friends will not support your dreams, but random people will"
Sasa jamani tuje kwenye uhalisia. Hadi unafungua biashara unakuwa umeona hitaji la kile kitu unataka kuuza. Sasa ya nini tukumbushane mara mia tatu na maswali ya "sijapata oda yako" au "nikuwekee kijani au njano?"
Kuna rafiki nimemuepuka tangu Januari alipoanza biashara yake. Kanionesha bidhaa WhatsApp nikasema sawa na kusifia uzuri. Lakini mimi sihitaji hiko kitu atleast kwa sasa. Ni vema nimeona in the future nikiwa na hitaji nitamuambia. Ila sasa nasumbuliwa jamani sihemi.
Kwenye bajeti zetu tuweke na kipengele cha 'kitunza urafiki'? Vyuma jamani vyuma. Harusi tunachangishana sawa japo nayo si kitu poa wala nini ila si haki uninunulishe kiatu/pochi ambayo sihitaji kisa urafiki.
Kama kuna mnaofanya haya tuoneane huruma wajameni. Urafiki unakuwa very expensive. Tangaza biashara yako atakaye atakuja kununua, tusichunane kama mbuzi!
Si umwambie tu huyo rafiki yako ajue kuliko kutuambia sisi.Wakuu salamu,

Na ndio maana mimi nazungusha. Akiniambia upo nyumbani leo namwambia sipo natunga safari. Akisema kazini namwambia niko nafanya kazi za nje. Maana kifuatacho ni kuletewa bidhaa bila hiyari.mimi yupo alianzisha biashara akasema anaitaji.sapota.yangu nikamchangia tena kwakuona picha Whatsapp ikawa mimi ndoo namdai mzigo.sasa bwana juzi hapa kaniletea mzigo huku kaja mvitu vingine.et ivi nakuachia nitakudai aijapita siku 2 kaanza kusumbuwa kwenye sim nataka anataka.pesa yake paka najuta ila.dawa yake ndogo nikimlipa.tumeishana ulafiki unaponza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa huko unakotokea. Mimi hununua kwa marafiki vitu ninavyohitaji. Tena huwa naandika kwenye WhatsApp groups za marafiki, kuulizia kama ninachotaka kuna auzaye namsapoti sababu najua maisha kunyanyuana ila sio ninunue kitu nisichohitaji sababu ya urafiki. Ukiona mtu haagizi unachouza ujue hahitaji jamani.Urafiki wenu ukoje?kuna ile kuungana mikono kuinuana marafiki wewe unaweza usinunue lakini ukaweza mforwdia kwa wengine wakaona rafiki akapata kitu, ni jambo jema na staha kuinuana marafiki si vyema kuchukuliana hivyo, hata ukimpa idea au kitu unachotaka wewe akutafutie.
Sijui kama nimeeleweka.
Acheni kusumbua watu....mnasumbua sana nyie wajasiriamali wa nisaidie kushare....Urafiki wenu ukoje?kuna ile kuungana mikono kuinuana marafiki wewe unaweza usinunue lakini ukaweza mforwdia kwa wengine wakaona rafiki akapata kitu, ni jambo jema na staha kuinuana marafiki si vyema kuchukuliana hivyo, hata ukimpa idea au kitu unachotaka wewe akutafutie.
Sijui kama nimeeleweka.
Acheni kusumbua watu....mnasumbua sana nyie wajasiriamali wa nisaidie kushare....
Mko desperate n aggressive....mnalazimisha....
Aah kummmmaaanyoookoJamani ni njaa tu inatuponza, naomba no yako ya whatsapp niwe nakutumia bidhaa zangu.
Mkuu umenivunja mbavu aisee.Aah kummmmaaanyoooko
Aah kummmmaaanyoooko